Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nauza PS4 used bei 950,000/= ila ipo katika hali nzuri na pia ina game FIFA 19, GTA na n.k nipo Arusha kwa aliye serious anicheck PM kwa mawasiliano
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Haya kwa wale wasiopenda vyakula vya mafuta nauza Halogen oven ya kuchomea kuku samaki chips kwa kutumia kijiko kimoja tu cha mafuta waweza kubake cake kukaanga popcon kukaanga karanga nk Hii...
1 Reactions
0 Replies
4K Views
Samsung galaxy tab 3, 16gb storage, bei, 250,000/=. Mbezi Beach. Call/WhatsApp 0763947003
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakuu nauza Ps3 yenye ukubwa wa hard disk 320 GB na iliyo na michezo 10 ndani yake. Utapewa na pad 1. Bei ni 370,000 tu. Napatikana Usa River, Arusha. Nitafute 0624560971
0 Reactions
4 Replies
3K Views
MARAFIKI ZANGU HAMJAMBO? GOOD NEWS KWA WALE AKINA DADA NA AKINA MAMA Nina biashara ya mabegi, Mapochi na dawa ya kukuza nywele na kucha za mwilini kwa jina hili (Biotin 500Mcg) Mali toka nchini...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Natafuta Zircon yenye rangi ya Petrol..... Nanunua kwa Kilo....kama unayo njoo in box au nitumie picha kwa Whatsapp na Bei yako! Whatsapp +255714417641 NB: Picha iwe Clear, shika piece kadhaa...
1 Reactions
16 Replies
5K Views
Nauza gari toyota ist , 8m Hali yake ni nzuri 0755348080
2 Reactions
13 Replies
3K Views
Wadau nipo Mtwara wilaya ya Newala,nina kampuni ya usafirishaji iliyopata tenda kwa wilaya za Masasi, Newala, Tandahimba na Mtwara vijijini, nahitaji pia Lori zitakazobeba mzigo toka katika wilaya...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Samsung galaxy tab 3, 16Gb storage, WiFi connection, 10.1" screen size. Bei Tsh. 250,000/= Mbezi Beach, Dar es salaam Call/WhatsApp 0763947003
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Nataka kujua bei ya wastani ya iPhone 8 Plus imesimamia Tshs ngapi kwenye soko la simu la Daressalaam? Mwenye kujua tafadhali
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Zimbabwe Open skies continue to attract airlines. @AirTanzania #ATCL has scheduled 1JUL18 for thrice weekly flights from Dar es Salaam to Harare using a #CS300 on Wed,Frid and Sun.
5 Reactions
55 Replies
6K Views
wakuu habari.! nina swali wapi naweza pata short course or hata zikiwa a bit long za Forex specially kwa DAR ni for my sister. Asante
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Viwanja vinauzwa vimepimwa Chanika buyuni sqm 584 Tshs mil 9 Mvuti sqm 600 mil 4 Kibaha visiga sqm 600 mil 5
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Viwanja (Vimepimwa ), Vinaizwa Bunju na Mpinga (Baobab Sec) Kwa Mpinga Kimele vipo viwanja sqm 400 (20/20) kwa Tsh. 5 mil, sqm 600 (20/30) kwa Tsh 7 mil, sqm 800 (20/40) kwa Tsh 9 mil, Viko mbali...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari; Kwa wale wanaohitaji huduma ya kupata Vyumba vya Kupanga,Hostel,Nyumba,Viwanja,Mashamba N.K. Mawasiliano ni 0717512851 Karibuni
0 Reactions
2 Replies
2K Views
MKOPO WA VIWANJA NA MASHAMBA USIO NA RIBA WALA DHAMANA. [emoji419]GOBA Mradi upo GOBA Njia nne. Una viwanja 10 [emoji419] MADALE Mradi upo Madale mvumoni, uwanja wa mpira, karibu na shule ya...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Takribani kila mtu angependa kuwa na ngozi laini, au hata laini zaidi. Watu wengi wamekuwa wakiitafuta ngozi nzuri au kujitahidi kuitunza ili isiharibike. Lakini je, wamefanikiwa? Wachache...
0 Reactions
0 Replies
14K Views
Naombeni kufahamishwa wap naweza pata mkopo wa gari ndogo kwa ajir ya biashara ya tax iwe ni bank au mtu binafsi nina kiwanja Bunju kikubwa na kina hati miliki lejesho naweza fanya 150,000 kwa...
1 Reactions
1 Replies
757 Views
Pata kitabu cha siri za kujajirika kwa shilingi 3000/= kwa soft copy ( nakutumia watsapp) na 6000 hard copy mawasilino 0744951631 kwa maelezo soma hapachini kwenye hii picha
2 Reactions
51 Replies
7K Views
1.Weka kiwango cha chini cha mkopo na riba kwa mwaka. 2.Kwa anaefahamu bank inayokopesha chini ya 1,000,000/=(Nimeenda CRDB wanaanzia 1,500,000/= wakati shida ni kupata 1mil tu. 3.Mahali ni Dar es...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom