Wakuu habari natafuta mtu anayemweza kuniuzia kiti cha saloon cha kiume used, kiti kiwe cha kawaida sio vile vya barbar shop, maana offer yangu ni ndogo, na saloon yenyewe ni ya uswazi. offer...
Habari.
Namiliki Workshop ya Welding, Soon ntaongeza Section ya Woodwork.
Nahitaji Fundi wakufanya nae Kazi kwa ajili yakusimamia Workshop yakutengeneza Furniture za Chuma na Mbao za Kisasa...
Kwa kariakoo ni maeneo gani naweza kupata Yale magodoro madogo ya wanafunzi? Nataka mawili alafu bajeti yangu haizidi elfu arobaini (40,000) kwa yote mawili. Msaada tafadhali nataka kuwanunulia...
Tunafanya kazi zifuatazo....Audit (Ukaguzi), accounting(uhasibu/mahesabu), tax advice (kodi), management, information technology and human resource consulting, Financial advisory services...
Naweka uzi huu kwa dhumuni la kutaka kujua ghalama ya Toolbox complete ya vifaa vya plumbing au hata ukiweza kuniunganisha na wauzaji wa vitu hivo.
mjumuisho uwe ni wa vifaa kama vile
Pipe Wrench...
Nategemea kusafiri kwenda Morogoro kesho kwa shughuli ya kifamilia. Nitapenda kujua wapi naweza kupata mbuzi mzima Meeee?? Kama unao unauza njoo PM tufanye biashara
Habari wana JF bila shaka mpo salama.
Nlipata bahati yakutembelea Lindi kwa mwaka huu vizuri nikakutana na fursa ya kuuza chips lakini kwa upande wa masoko ilikuwa ishu ila baada yakufanya utafiti...
Tarehe 27 Oct 2018 mliopo #iringa #mafinga #tanzania
JUKWAANI ATAKUWEPO, MSANII RECHO (RACHEL) - KIZUNGUZUNGU, AKIWA AMESINDIKIZWA NA WENZIE..
WOTE MNAKARIBISHWA.
Tarehe 27 Oct 2018 mliopo...
Habari,
Kwa heshima kubwa Baraza la Nafaka Ukanda wa Afrika Mashariki (EAGC) linapenda kukuwakaribisha ewe wafanyabiashara wa nafaka kujiunga na Safari ya kibiashara kuelekea nchini, Rwanda...
Wakuu,
Juzi nilileta Uzi hapa kuomba msaada baada ya mtoto kupasua kioo cha Tv, nashukuru nilipata mafundi wazuri sana Kariakoo nimewekewa kioo kipya kwa Tsh.350,000/=, saizi mambo safi kabisa...
Wakuu heri ya kuiona siku hii ya leo. Sifa na Utukufu ni kwa Mungu aliye Mkuu zaidi ya uwezo wetu wa kuona, kusikia, kuhisi, kunusa na kuonja.!
Kama tujuavyo kuwa, Udalali ni shughuli kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.