Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wadau Forex Trade. (The MK45STRATEGY PACKAGE) leo nimekuja na zawadi hii katika msimu huu wa kusheherekea wakina mama ulimwenguni (Mother's Day). Nimeona niwahusishe wakina dada kwenye...
0 Reactions
61 Replies
17K Views
"HABARINI WANDUGU, Nimekuwa kwenye hii biashara ya nguo za mtumba kwa miaka mitatu sasa, ila changamoto yake kubwa muda wooote huo ilikuwa kupata mizigo mibovu yani nguo mbaya mbayaaaa tu hapa...
2 Reactions
77 Replies
38K Views
Tunauza cement ya Twiga extra jumla 32.5 kwa 11000 na 42.5 kwa 11500 pamoja na VAT tunakuletea mpka ulipo tunapatikana msimbazi center 0682489105 kwa mawasiliano
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Habari , nauza fridge ndogo, bei ni 250,000/- . Fridge linafanya kazi vizuri halina shida yoyote linatumia umeme kidogo sana , naliuza sababu nimepata jingine kubwa. Lipo kinondoni mkwajuni Dar es...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Habari ya leo wana jamvi nauza kitunguu safi kutoka lumuma nna gunia 40, Gunia moja ni 75,000/- Ukiagiza kuanzaia kumi unaletewa ulipo. Karibuni
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habari ya leo wana jamvi... Nauza kitunguu safi kutoka lumuma nna gunia 40 gunia moja ni 75,000/-. Ukiagiza kuanzaia kumi unaletewa ulipo
2 Reactions
6 Replies
1K Views
Habari wanajukwaa, Mashine ya kokoboa na kusaga inauzwa kwa bei ya haraka ikiwa na vitu vifuatavyo; -Kinu cha kukoboa roller 3. ( bodi za chuma ni zile nzito) -Kinu cha kusaga Number 75. -Mota 2...
1 Reactions
13 Replies
5K Views
Mimi nikijana mjasiriamali elimu. Naomba mtu yeyote kwa hapa Dar pembezoni mwa mji mwenye jengo ambalo linaweza kufaa kufungua kituo cha mafunzo ya watoto wadogo chekechea na day care tuwasiliane...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nauza health fitness tracker kwaajili ya afya, mazoezi na notifications. Kazi zake: -Inapima mapigo ya Moyo. -Inapima pressure ya damu. -Inapima kiwango cha Oxygen katika damu. -Inahesabu hatua...
1 Reactions
0 Replies
806 Views
Je,,...unasumbuliwa na matatizo ya kodi. Hujui ufanyeje..? Umefungua kampuni huna mtu Wa kukupa ushauri Wa kibiashara..? Au wakukufungia mahesabu yako ya mwaka..? Wa kukutumia returns zako za...
0 Reactions
0 Replies
804 Views
Habari zenu wakuu? Kama kinavyoeleza kichwa cha habari. Nahitaji kofia 20 za mahafali za kukodi kwaajili ya watoto wadogo wa Nursery. Kofia ziwe nyeusi na ziwe nzuri kama za watu wa chuo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Iphone 4S, Tsh 180,000/- Miliki simu ya Iphone ya kijanja kwa bei poa kabisa! 3G Internet speed Whatsapp Facebook Instagram Twitter 8gb / 16gb NO icloud / Hazina Icloud Tumia Laini yoyote...
0 Reactions
43 Replies
9K Views
*MASHAMBA YANAUZWA WILAYA YA MKURANGA NA BUNGU-MKOA WA PWANI* Je una ndoto za kua mfugaji wa Kuku,Mbuzi,Ngo'mbe n.k au kua mkulima katika mazao ya biashara ya muda mfupi kama vile Matikiti...
0 Reactions
3 Replies
7K Views
Habari wakuu, Mimi ni kijana mtaalamu wa fani ya sayansi na teknolojia ya usindikaji wa chakula (BSc. Food science and technology) kutoka chuo kikuu cha kilimo cha sokoine (graduate). Natoa huduma...
2 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari Ndugu zangu wana Jamii Nakuja mbele zenu kama kijana mwenzenu nkitafuta frame ya kufanyia biashara ya stationary katika maeneo ya Vyuo Vikuu hapa mjini Dar es Salaam.sitaki chumba kikubwa...
0 Reactions
1 Replies
704 Views
habar wana jopo naomba msaada kwa mtu anayeuza mbegu za nanasi kwa bei inayoeleweka katika maeneo tajwa hapo juu anisaidie. cna hela ya udalali
1 Reactions
1 Replies
911 Views
kwa anaehitaj,ninauza led tv aina ya aborder 32 ,ni full hd ina kioo cha protector ipo na hali nzuri sana kwani ninaitumia mwenyewe,pia nina simu aina ya Tecno Camon X ni mpya na ni nzuri kwa anae...
2 Reactions
64 Replies
8K Views
Habari ndugu zangu. Mimi Sakumi N. Gabriel mkazi wa Mbeya leo tarehe 6.10.2018 nilikuwa nasafiri kutoka Mwanza kwenda Mbeya na basi la Premier Line. Nilipofika Iringa mjini nimeibiwa begi...
0 Reactions
2 Replies
891 Views
Back
Top Bottom