Habari za kazi wana JF?
Kwa wale wenye shida ya kusafirishiwa magari yao kwenda mikoani au hawana uzoefu ma safari ndefu wanahitaji kusaidiwa karibu niwahudumie nina uzoefu wa miaka 4 katika...
Vunja Bei:
Nauza Brand new S6 Edge PLUS Gold Color, internal storage 64GB, 4GB RAM kwa bei powa.1.3mil.
Nunua kwangu kwa 1.3mil na uokoe zaidi ya km 400k kwa real shop price.
Pia kuna iphone 6s...
Habari za leo wadau,
Naomba kujua kampuni au mtu amabe anaweza kusafirisha mizigo/vitu vya ndani (kabati, friji, kitanda, sofa na vingine vidogo vidogo) hadi Dodoma kutokea Dar.
Kama yupo naomba...
Ni kichwa habari cha Riyawa fulani hivi kilikuwa kinasema
Kama kuna member anacho kitabu hicho naomba tuwasiliane au kama mtu anajua kipopatikana anielekeze kilipo ahasanteni sana
Nina uhitaji wa bati 50 za mkopo kwa makubaliano ya malipo kwa awamu tatu, kwa maana ya kila mwisho wa mwezi kwa miezi mitatu, kama hutojali nicheki 068504720.
Kwa anayehitaji mbolea ya kuku ipo inapatikana kwa bei nafuu kabisa
Mahali: Namanga, barabara ya bagamoyo mbele ya kibo complex
Mawasiliano: 0625516615.
Karibuni sana.
NAHITAJI KUNUNUA NTA MKOA WA TABORA,
MWENYE UWEZO WAKUNIUZIA KUANZIA KG 20 NA KUENDELEA, AWASILIANE NAMI
MWENYE BEI NZURI ATAKUA NA UHAKIKA WA SOKO LA KUDUMU.
Are you interested in investing or working in ICT and related business?
Are you graduate in ICT with Diploma,Degree in ICT related Disciplines?
Are you resident of Dar es Salaam in nearby region...
Hii ni habari njema kwa wakazi wa Mbeya walipo Kabwe, Mwanjelwa na Soweto na maeneo jirani ambapo sasa wanaweza kuweka oda ya chakula na Fresh juice Online kwa kutumia Application ya Chakula...
The Phone is brand new, never been used. In the box. Comes with an original Infinix charger, earphone simcard tray pin retractor and back cover.
The phone goes for 550,000 in the shop but willing...
Qbscl co ltd inatafuta sehemu yenye mazingira mazuri....ghorofani ya kufanya partion kwa ajili ya kuweka ofisi na madarasa ya chuo. Maeneo mazuri hapa dar es saalam.....Tupigie +255 222180769...
Ni vizuri kujua, siku neema zikinitembelea nachukua ufukwe mmoja huko.
Je kuna madalali kama hawa wa huku bara.
Je na kwenyewe wanachaji pesa ya mguu.
Vipi siwezi pata usumbufu wa kiimani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.