Habari ndugu wana jukwaa? Nipo kigoma natafuta mpishi wa vitafunwa kama Chapati, maandazi, halfcake, donat, donas, kaukau, piza, sambusa, kastam, kachori,eggchop, kababu na maandazi. Nitafute...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza nahtj kiwanja maeneo ya salasala kinzudi usukumani..bei kama ilvyotajwa hapo juu..nipo serius ml 2.na vinaptkana bila chenga rafk yangu alinunua juz...
Habari wakuu!
Kuna nyumba inauzwa maeneo ya ukonga-banana ina vyumba vinne,sebule,sehemu ya kulia chakula, store na sehemu ya parking ya gari,na bado kuna eneo kubwa la kujenga nyumba nyingine na...
Nahitaji mtuu atakaye weza ku ni tengenezea vitu
Nitengenezee privacy and policy kwa ajili ya blog
About us kwa ajiri ya blog
Disclaimer kwa ajili ya blog
Blog yango inahusu lifestyle
Km...
Wakuu, hiyo friji hapo inauzwa na bei yake ni 200,000 mazungumzo yapo.
Bado iko vizuri na inachapa kazi haswa.
inapatikana Dodoma
Ingia pm kwa mwenye uhitaji.
Nb: Picha zinaleta shida kdg ila...
Pata BELT Bomba Kabisa
kwa Matokeo Mazuri na ya Haraka?
Belt hizi Hupunguza Vitambi na Manyama Uzembe na kukufanya uwe na Shape Nzuriiiiiiiii?
Unaweza ukatumia kwa Mazoezi pia?? na kwa wale...
Samsung Note 8 yangu nliangusha kwa bahati mbaya,ikacrack kwenye screen ilipowaka ikakataa kusoma line, nlivyopeleka kwa fund akanambia BASEBAND ndio imezingua akajaribu kuiFix ikashindikana...
1/tunachimba visima kwa dar es salaam elf sitini na tano (65,000) chimba mikoa yote tanzania bei maelewano gharama zetu nafuu sansa)
2/tunasafisha pump na compressor
3/tunapima maji yanapatikana...
Natafuta perfume/body spray inaitwa black caviar,muonekano wake unakua kama kwenye picha hii hapa chini
Ambaye atanisaidia kupata naahidi kumpa elfu thelathini(30,000/=) kama asante.
Naomba ni PM...
*MOISTURIZING HANDCREAM WITH AVOCADO OIL*
code 34065
Ipo nyuma ya kitabu.
[emoji830]Imetengenezwa kwa mafuta yatokanayo na parachichi 🥑special kwa kulainisha viganja na kuimarisha kucha...
Kuku wa Asili ni wale ambao wamekuwepo hapa nchini kwa miaka mingi na damu yao haijachanganyika na ya kuku wa kigeni. Kuku hawa wana rangi na maumbo mbali mbali. Idadi ya kuku wa Asili hapa...
Wana ndg naomba msaada wenu,tv yangu inaonyesha mchele mchele,kuna madogo wamechezea na mm sio mtaalamu wa mambo ya tv na rimoti zake,
Nifanyeje ili niset na kurejesha ktk hali yake
Msaada tutani!
Natafuta rangi za nyumba aina ya Dulux Tanzania, hapa jijini Dar.
Nikipita kwenye mitandao naona kuna taarifa zao za zamani, ikihusisha mawasiliano.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.