Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari ya kazi Wakuu.. Naitaji Gari ya kununua aina ya IST, RAUM, RUNX number D, offer 7,500,000/= -Niko mbeya simu; 0758975807
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari zenu wapendwa kama kichwa cha habari kisemvyo nilikua naomba kusaidiwa bei za mabalo ya nguo nzuri za wadada,sidiria au viatu vya watoto.Kutokana na hii changamoto ya ajira nimeona nifanye...
1 Reactions
6 Replies
4K Views
Habari wanajamvi, Nauza subwoofer ya gari (deochestra). Ina mziki mkubwa sana. Ipo tayari kuunganishwa na radio yeyote ya gari na kuanza kutumika. Bei: 100,000 Location: Dar (Posta) Contact: PM
0 Reactions
8 Replies
38K Views
Kama title ilivo apo juu. Naileta jukwaa Ili kwa kuwa hapa jf mimi ni mdau mkubwa wa jukwaa Ili zaidi ya majukwaa mengine yote. Kwa wale wote waliohamia mikoani kama dodoma ivo kuhitaji...
2 Reactions
43 Replies
6K Views
Nmepata uhitaji wa haraka wa cash, nimelazimika kuuza hivi vitu ambavyo ni sehemu ya maisha yangu kwa kiasi kikubwa. 39 inch TV hii ni mpya ina just one month since nimeinunua Risiti ya kununulia...
1 Reactions
6 Replies
1K Views
Tokea nimeinunua 32 inch naona ipo vizuri sana, kitu kipo clear haileti shida yoyote
0 Reactions
54 Replies
9K Views
Kwanza Kabisa Unatakiwa Kujua Kama Usajili huu hufanywa kwa njia ya Mtandao Pekee. Fungua tovuti (website) ya TCRA (www.tcra.go.tz), upande wako wa kulia juu kuna maandishi yanasomeka...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Napenda kuuliza wadau kuwa hivi ni kweli siku hizi serikali imefunga usajili kwa taasisi za kidini? Naomba ufafanuzi tafadhali. Na kama kuna mtu anayejua taratibu zote au anayeweza kufanya kazi ya...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba mtu mwenye ufahamu kuhusu mbegu ndefu za mpunga tuwasiliane. Zinahitajika data kamili(wapi inapofaa)kwa kivupi ni kwa ajili ya kulima nchi nyingine. Hivyo ili iweze kusafilishwa kwa ajili...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Je wewe ni mkazi wa Dar es Salaam, Morogoro au Dodoma, na unamiliki "Day Care Centre" au "Pre-/Primary School' na ungependa kuiendesha kisasa ili kuendana na ushindani katika soko la elimu? na je...
2 Reactions
0 Replies
3K Views
ipo tmk keko ina vyumba saba na frame tatu ipo ktk hali nzuri bei ni 75million 0674673925 0755438225
0 Reactions
0 Replies
972 Views
Habari wakuu nahitaji box ya kuflashia simu iwe miracle box au Volcano, pia kama ikipatikana nyingine inayoweza kusupport simu zenye chipset ya mtk, spd, etc. Box iwe mpya au used, location...
1 Reactions
0 Replies
628 Views
Habari za mchana wana JF, hasa wa jukwaa hili la biashara na ujasiriamali. Tuna kampuni ya inayotoa huduma za professional cleaning (USAFI ) maofisini na sehemu zingine mbalimbali. Huduma zetu...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Habari wakuu nipo Dar, natafuta shde nets au insect nets USED ...wenye nazo tuwasiliane 0676 669470
0 Reactions
0 Replies
644 Views
Habari za leo wanajukwaa, nauza bajaj yangu aina ya TVS King ikiwa kwenye ubora wa hali ya juu. nimemnyang'anya dereva jumapili iliyopita maana sound zimekuwa nyingi na haleti hela. nimeipaki tu...
0 Reactions
10 Replies
10K Views
Kwa mwenye simu husika hapo juu nahitaji ikibidi muda huu huu tusipoteze time. Bajeti 130k Ukiwa upo soko kuu , lango , buzuruga , national au buswelu itakuwa mpango sana. Ciao.
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Asalaam Naombeni msaada wa sehemu ninayoweza pata tea tree oil. Wasalaam......
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Location: Pongwe, Tanga. Umbali kuelekea main road: 1 km Maji yanapatikana 24 hrs, 7 days. Umeme upo karibu, hakuna haja ya nguzo. Vyumba vitatu, kimoja master Kuna Public Toilet Kuna Jiko na...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Wandugu Mtu yeyote anaefahamu au kuhusika na Upatikanaji wa hii bidhaa Kwa jumla NaMuomba Tuzungumze, Ni mashine ya kunyolea inayotumia betry pia inachajiwa katika Umeme.
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Back
Top Bottom