Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Naomba kufahamishwa juu ya upatikan wa zao hili na linapatikana sana mikoa gan kwa atakaye pata vanila bean nahitaj tuwasiliane kwa whatassp yangu 0685000606
1 Reactions
17 Replies
1K Views
Mm ni mkulima wa miwa na huwa nalima ile miwa myekundu: ..changamoto ni kwamba huwa naiuza miwayangu shambani tena kwa wale wauzaji wa rejareja nahitaji msaada wa solo Wakuu.. Msaada..
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Nauza kiwanja chenye ukubwa wa urefu mita 40 upana mita 25. Kipo Mbezi mpiji magohe kituo cha kwa Stephen. Bei yake ni 12m hakuna dalali mimi ndiye mmiliki halali. Ukija nitakupa ushahidi wote wa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Intel Schools ni shule iliyoko katika Kata ya Terat (Kwa Mrombo) jiji la Arusha ambayo iko km 10 kutoka katikati ya jiji hilo. Kuna shule ya Awali, msingi, na sekondari, shule ni ya...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari mimi ni mkazi wa Dar es salaam,Temeke,natafuta mbwa wadogo (puppy)wa kike na kiume,wa bei ya kawaida tuu,si lazima mbwa awe hawa brand name,sijui G.sherphad..mbwa mbwa tu..atakaeniamsha...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu heshima mbele, Niko kwenye juhudi za kupanda miti huku kwetu maeneo ya kanda ya ziwa. Nina uhitaji wa miche ya miti (ashoka, palms, pines nk). Uhitaji wangu ni wa kiwango cha kati (bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakuu pole na shughuli. Nina simu yangu ya Tecno W3, ila kila anayenipigia wanamuambia inatumika, kila saa nikipigiwa wanasema simu inatumika lakini mimi kupiga napiga vizuri. Je tatizo ni nini...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Nimekwama kibiashara nahitaji kuongeza mtaji ndio maana naviuza vyote ni mali zangu halali. FLAT TV INCH 30 AINA YA NOBEL= 300000 HOME THEATER WATT 500 AINA YA SONY= 300000 FENI=40000 DEKI YA...
1 Reactions
5 Replies
3K Views
Nahitaji kiwanja maeneo ya mahina - mwanza ,, bajeti yangu 3.5 m
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Micro2 cycle ambayo ni ya Asili na imetengenezwa hahususi katika kuchokonoa Mafuta yaliyoganda kwenye mishipa ya damu na kufanya damu ipite bila matatizo yeyote...
0 Reactions
4 Replies
6K Views
Imeisha muda wake
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Habari wadau! kwa mahitaji ya ubuyu wa Zanzibar,mwekundu na mweupe tunapokea oda na hivo kujipatia ubuyu fresh direct kutoka jikoni, Zanzibar . Mzigo huingia Dar kutoka Zanzibar kila ijumaa na...
0 Reactions
0 Replies
657 Views
Rom 128GB No scratch Bei 350k(negotiatable)
0 Reactions
2 Replies
732 Views
Una swali lolote linalohusu sheria ya ardhi, au jambo lolote unalotaka kuhusiana na mambo ya ardhi. NITAKUWA NAPATIKANA KWA EMAIL kwanzamen@yahoo.com. tafadhali uliza swali ambalo ni kweli...
0 Reactions
27 Replies
30K Views
Kama mada isemavyo, nyumba ipo Mwenge mitaa ya TRA jijini Dar es salaam, nyumba ina vyumba vitatu na mabanda ya uwani, eneo lina sqm 500! Document zote zipo na hati! Bei ni 260M maongezi yapo Pia...
0 Reactions
57 Replies
11K Views
Habari wakuu, Naitwa Enock, napatikana Mbezi, Dar es Salaam Tanzania. Mimi ni fundi wa kutengeneza sofa za kisasa na zenye ubora. Bei zangu ni nafuu kabisa, kama ifuatavyo; -Seti ya watu 5 ni sh...
0 Reactions
2 Replies
10K Views
Habari.yako.. Nahitaji uniuzie vitu vifuatavyo Kabati la vyoo Jiko la mishkaki Jiko la chipsi Vyombo vingine vinavyotumika kwa biashara ya chipsi Pia natafuta Eneo zuri la kufanyia biashara...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nipo Ubungo Dar es Salaam. Bei Tsh90,000(Hii ni bei elekezi,njoo na bei yako,printer bado mpya) Nicheki PM.
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Invoice plane ni mfumo wa kipekee wa kuandaa quotes,invoice,kuhifadhi kumbu kumbu za biashara pamoja kufuatilia malipo.Mfumo huu unakuwezehsa kufanya yafuatayo: Kuandaa quotations Kuandaa invoice...
0 Reactions
0 Replies
679 Views
Mzani Used unaitajIka , uwe mzina katika hali nzuri na usiwe na tatizo lolote njoo picha whatssap 0752120647 tumalize biashara. Location kibaha
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom