Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
ANAHITAJIKA MTU MWENYE DEGREE YA BUSINESS ADMINISTRATION KWA AJILI YA KUFUNDISHA CERTIFICATE NA BAADAYE DIPLOMA HUKO NYANGUGE WILAYANI MAGU MKOANI MWANZA. CHUO KINATARAJIA KUANZA JANUARY 2019...
0 Reactions
2 Replies
784 Views
Kwa mahitaji yako ya ferniture za nyumbani karibuni mate fernitures upate bidhaa bora zenye warrant kubwa na kuretewa hadi ulipo 0783598512
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau kama kuna anayejua mwenye kiwanja pale morogoro kwa bei ya 2M mpaka 2.5M naomba anijuze. Kiwanja kisiwe mbali saaana kutoka barabarani.
1 Reactions
5 Replies
946 Views
Toyota townace truck Inahitajika
0 Reactions
0 Replies
503 Views
Kwanza napenda kuchukua fursa hii kuwashukuru uongozi wa jamii forum. KB logistics company ltd tumewaletea huduma kwa karibu na haraka zaidi hasa wale wanaomiliki petrol station na wale wenye...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Nyumba ina vyumba viwili vya kulala kimoja master, sebule na jiko, ni nzuri na ya kisasa, ni mpya haijawahi ishi mtu, ipo kimara mwisho umbali wa 1.8 km kutoka morogoro road, nyumba zipo tatu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu nauliza hivi ni generator gani na yenye uwezo gani kwa matumizi ya barbershop na tafadhali ningependa kujua bei zake. Iweze kusukuma vitu kama ac, water heater and mengineyo.
1 Reactions
0 Replies
738 Views
Tunapenda kutoa shukurani kwa Serikali ya Awamu ya Tano kwa kuhakikisha inasimamia haki sawa kwa wote Kuna Kontena letu lilikwama bandarini Dar kwa miezi mitano kwa makosa ambayo yalifanywa na na...
0 Reactions
3 Replies
995 Views
Salamu Kiwanja ukubwa 20x20 maeneo ya king'azi Kinyerezi dar es salaam kinauzwa bei yake milioni 6. Vingine vya kukata kata 15x15 au 10x20 bei maelewano njoo uvitazame vipo njia ya kuunganisha...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari, nahitaji Bluetooth POS machine, aliyenayo tuwasiliane. Naambatanisha picha ila inaweza kuwa brand yoyoye.
0 Reactions
1 Replies
491 Views
Handbags for classic lady's zinapatikana kwa bei nafuu sawa na bure. [emoji162]New modern [emoji162]High quality [emoji162] rangi zote zinapatikana. < Nafanya deliver kwa mwanza. < Bei Tsh...
2 Reactions
8 Replies
2K Views
JAMANI NATAFUTA SMART PHONE YA KUNUNUA NIPO MORO MJINI NINA ELF 60 MWENYE NAYO ANICHEKI 0652904080
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Vifaa vya muziki wa either ukumbini au kanisani au sehemu yeyote ya wanakopigisha muziki, vinauzwa kwa bei nzuri ya maelewano. Vinapatikana maeneo ya kigogo mburahati Spika nne kubwa za base...
0 Reactions
4 Replies
13K Views
Guys! Ningependa kufahamu ni wapi naweza kupata Overalls; yale mavazi yanayotumika na mafundi, hususani Mafundi Mechanics. Kama unafanya hiyo biashara, hususani Dar es salaam au Arusha...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tunahitaji maeneo muhimu kwa ajii ya kuuza mafuta, ikiwa eneo liko katikati ya mji litapewa kipaumbele, lakini pia maeneo ya nje ya mji kama yako vizuri nayo yataangaliwa. pia ikiwa unakituo cha...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Solar (Umeme jua) teknolojia mpya ya umeme nafuu Tafiti zinaonesha kuwa asilimia 36 tu ya Watanzania ndiyo wanaopata umeme huku wale waishio maeneo ya vijijini wakiwa nyuma zaidi. Kuna...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Habari wanajamvi, Kwa mvuvi au mfanyabiashara wa dagaa hasa dagaa aina ya furu nawahitaji kwa wingi sana kwa ajili ya chakula cha mifugo. Mimi niko Kampala, Uganda. Contact:- WhatsApp +256772328439
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Wachache wameshaiskia na wachache wameshahudhuria semina za Biashara Ya Kampuni ya AIM GLOBAL/ ALLIANCE IN MOTION GLOBAL. Kama una swali,dukuduku au mashaka yoyote au hujaelewa jinsi gani Kampuni...
1 Reactions
15 Replies
7K Views
Kama kichwa kinavojieleza hapo juu naomba kujua soko la matunda aina ya machungwa kuhusu soko lenyewe mahali lilipo na bei zake kwa mfuko au jumla ni bei gani na rejareja au mojamoja ni bei gani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Kiti cha ofisini kinauzwa (official chair) bei 45,000 tu, kinazunguka na kupanda juu chini. Njoo ukione MSASANI, MAYFAIR PLAZA au SHPOPPERZ PLAZA. Simu 0759380898 au 0683380898 Karibuni
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Back
Top Bottom