Eneo ilipo: Area C, karibu kabisa na barabara ya Arusha.
Aina ya nyumba: Ex NHC. Vyumba viwili, jiko, sebule na choo. Standard yaani haijafanyiwa marekebisho ya ziada.
Kodi: shs 160,000 kwa...
Sallam..napenda kuwakumbusha wana jamvi kwa uhitaji wa vyumba na nyumba za kupanga bado zinapatikana kwa bei nzuri tuu Dodoma mjini..popote upatakapo .Usihangaike wala kujichosha tupo kwa ajili...
Wadau Habari za Sikukuu
Naomba kufahamishwa kwa mwenye ufahamu juu ya bei za mashamba (kwaajili ya kilimo cha mpunga) maeneo ya Mikese, Kijiji cha Fulwe - Morogoro. Naomba kujua bei ya kuanzia...
Karibuni sana wageni mnaokuja katika Jiji jipya lenye fursa kibao.
Kwa anayetafuta Nyumba/vyumba au viwanja kwenye Jiji la Dodoma namkaribisha sana tufanye nae mawasiliano kupitia 0789805698 au...
Kila Siku Tunajitahidi Kufanya Vitu Vilivyo Bora Na vyenye uhakika , Kila mmoja anapenda kuona kitu anachokifanya kiwe na taswira tofauti au na matokeo mazuri ,
Nikiwa kama Fundi Umeme...
HP New condition laptop
4GB RAM
500GB HDD
AMD A4 5000 APU Proccessor
Radeon HD Graphics
5hrs+ Battery life
3 USB ports with HDMI port
Location:Dar
Asking price:570k
Contact:0719573444
Kwa anayehitaji web based system tajwa hapo juu ninayonauza. System imetengenezwa kwa technolojia ya php and mysql.
Inatumia simple mechanism, yaani mteja anaingia kwenye system, anajirejista then...
Nyumba ina chumba, sebule na choo, ni nzuri na ya kisasa, ni mpya na haijawahi kuishi mtu, umbali ni dk 10 tu kutoka morogoro road, nyumba zipo tatu ndani ya uzio na kila moja inajitegemea maji na...
kwa wanaoitaji kufuga samaki kibiashara vifaranga wa kambale na sato wanapatikana Dar es salaam kwa bei ya 400/= kila mmoja.
kwa maelezo zaidi piga/sms/whasap 0789291116
Natafuta watu wanaojishughulisha na kuuza madumu ya kuanzia lita 20 na ndoo toka hapa dar .......kupeleka Mikoani au hapahapa dar ...ninaomba mwanga na mwelekeo
Solar Kit, Tsh 50,000/-
Shilingi Elfu Hamsini za kItanzania.
unapata;
- - - - - - - - --
3 BULBS
1 small solar panel watt 22
1 small FAN
MP3 OUTPUT with FM radio with usb port , unaweza kuchaji...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.