Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Nina laki 1
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Shamba lenye ukubwa wa ekari 10 linauzwa manispaa ya morogoro,sehemu inaitwa CCT karibu na kwa (RAS) mtu maarufu eneo hilo.kwa mawasiliano zaidi. Phone no:+255756670101
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Tunauza simu zifwatazo I PHONE i phone 5 : Tshs 350,000/= i phone 5s: Tshs 450,000/= i phone 6 (16 GB): Tshs 550,000/= “ (64 GB): Tshs 630,000/= i phone 6 plus (16 GB) : 700,000/= i phone 6 plus...
4 Reactions
31 Replies
6K Views
Huawei P9 RAM : 4 GB Internal : 64 GB Display : 5.2-inch, 1920x1080 Rear camera : Dual 12MP Front camera : 8MP Battery : 3000 mAh Security : Fingerprint Bei : 370,000/= ( inajadilika) Mahali ...
1 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari wana JF? Outbox Tanzania ni kampuni inayodili na mambo ya Graphics & Designing, ofisi yetu ipo Sayansi Kijitonyama karibu na kanisa la KKKT Kijitonyama. Outbox Tanzania inatoa huduma...
1 Reactions
12 Replies
1K Views
Unataka kuanzisah Mradi au una wazo la Mradi ambalo unataka kuliendeleza? Nikuhakikishie tu kwamba kwa Miradi ya kiubunifu (Innovative Projects); ruzuku zipo kutoka kwenye Taasisi za ndani (Local...
1 Reactions
7 Replies
940 Views
Pata huduma zifuatazo kwa gharama nafuu SANA; Uibuaji na uandishi wa michanganuo ya Miradi (Socioeconomic, political and artistic project proposals) Uandaaji wa Mipango Mkakati (Strategic...
0 Reactions
2 Replies
646 Views
Naitaji kuanza kufuga kuku wa kienyeji kwa ajili ya biashara Lengo la kuanzisha uzi huu ni ili nipate elimu kwenu wanandugu ya aina gani ya kuku watakuwa na tija kwa kufuga ambao watataga sana na...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu, samahani kwenu wote kwa kuchukua muda wenu kidogo kwa kuisoma hii thread yangu.. Mimi naishi Dar es salaam ni kijana mdogo tu, natafuta kazi ya udereva kwa gari iliyosajiliwa uber au hata...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Habar wakuu, Bila dalali kuhusika,inahitajika nyumba yenye sifa zifuatazo Vyumba vinne(master) Full tiles Maji ya uhakika Parking nk. Iwe maeneo ya Tabata kimanga,kisukuru,external,tabata...
0 Reactions
17 Replies
4K Views
Kama kichwa kinavyojieleza nyumba ya vyumba viwili sifa za hiyo nyumba kuna vyumba viwili vya kulala na kimoja ni master pia kuna choo cha public kiko ndani na pia kuna sitting room kubwa na yenye...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Sterilizer mpya inauzwa. Bei 150,000/- Kwa mawasiliano 0746 359 376 DSM
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu Habari, Naitaj mtu anaye weza na mwenye mtaj wa kufungua M- pesa, Tigo-pesa na airtel - money, eneo ni mbez beach bonden, Karibu na kambi ya jesh lugalo. Mwenye uhitaj Pg no 0759657178...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
natafuta smartphone ..Sony Ericsson, s lt18i
0 Reactions
1 Replies
860 Views
nauza laptop used kidogo ipo very clean aina ya accer sifa zake ram gb 4, hard disk gb 1000, processor intel with Gz 2.16 speed, betry inalast masaa 5 kwa matumizi. bei 400,000 kwa mawasiliano...
0 Reactions
9 Replies
936 Views
Wadau poleni na majukumu ya siku, Naombeni maarifa juu ya simu ya Nokia 6 kama ni nzuri na upungufu wake , nimepata kufikilia kuinunua ila naombsni msaada wenu kwanza hela yangu nisije nikaizika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kama una safari ya kuja Mbeya,Basi usisite na unakaribishwa Mgwasi Inn iliyopo eneo la Mwakibete-Ilomba.[emoji7] Affordable Price: 25,000/=, 35,000/=,40,000/= & 45,000/=
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ukubwa 1Tb
1 Reactions
5 Replies
790 Views
Habari ya jioni wakuu,mwenye kujua akaunti ya instagram inayouza Suti nzuri za kiume tafadhali aniwekee hapa! Nawaomba saana wakuu
0 Reactions
4 Replies
4K Views
Je unauza bidhaa yoyote used ya ofisini/ nyumbani/ binafsi? Wasiliana na MYGULIO TANZANIA kwa namba 0735400000, 0762084961, 0763520912 ili bidhaa yako iweze kutangazwa kwenye website ya...
0 Reactions
7 Replies
859 Views
Back
Top Bottom