Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
salaam, nyumba inauzwa ipo ukonga, kichangani (kituo cha madafu) ni nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, sitting room, dinning room, jiko na choo. MAELEZO mengineyo. ina eneo lenye ukubwa wa...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Ni nzito imetengenezwa kwa matunda halisi no added flavour Usafi umezingatiwa. Unaletewa na take away cup 12 Utaenjoy kama bachelor au na familia yako week nzima. Dumu unabaki nalo...
9 Reactions
38 Replies
8K Views
Pata mkaa wa kisasa unaodumu kwa muda mrefu kwa kupika chakula kingi na husio na Moshi being ni Tsht 700 kwa kilo moja pia kwa gunia ni 70000 tu karibuni tupo Mwanza simu namba 0758381277
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Habari wana JF kwa yeyote Mwenye mawasiliano, anayefanya kazi au mmiliki wa kampuni ya magari yanayokusanya taka tuwasiliane tafadhali
0 Reactions
0 Replies
358 Views
Habar , nahitaji dalali ambae yuko tegeta anitaftie chumba cha kupanga ndani ya geti baget ef 50 maeneo tegeta, kisiwe mbali na kituo nikipata master poa
0 Reactions
12 Replies
3K Views
Tenda ni kubeba Makaa ya Mawe Kutoka Songea Tz kwenda Kampala Ug. Gari zinahitajika za kutosha na ofa yetu ni nzuri pia mzigo ni wa muda mrefu kwa maelezo zaidi #0657385506
0 Reactions
0 Replies
795 Views
Je Unachukizwa na unjano, ukungu, uchakavu au taa zinazofifia kwenye gari yako? Usinunue taa mpya.. tuna suhulisho la kudumu kwa tatizo la taa zako... tunang'arisha na kuzifanya ziwe na safi na...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Kwa mahitaji ya korosho safi za jumla na reja reja ni pm kwa order yako
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mbuzi yupo mbeya iyunga bei elf80 [emoji337] 0766 85 71 20 karibun san mbuzi bado yupo
0 Reactions
28 Replies
5K Views
Habari wakuu Kuna bajaj hizi mbili zinatumia mfumo wa nishati ya kuchaji kwa umeme kila baada ya masaa tisa. Hivi sasa nataka niunganishe mfumo wa kawaida wa nishati ya mafuta (petrol au...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Nauza godoro 4*6 inch 6 halina cover yaani folonya yake! Bei 60,000 Atakae hitaji nitafute kwa. Namba >> 0693289203
0 Reactions
8 Replies
2K Views
MZIGO MPYA: DRYER YA KUKAUSHA mbogamboga, matunda, nafaka, samaki, nyama nk. Inatumia umeme, ina trays 16 za kukaushia. Material yake ni mazuri mno Stainlessteel 304. Bei Tsh 1,450,000. Ipo tayari...
1 Reactions
8 Replies
9K Views
Heshima kwenu wakuu, ninauza majiko ya kisasa kabisa ya mkaa yaliyo buniwa US kwa madhumuni ya kukupunguzia matumizi ya mkaa na kukuokolea muda wa kukaa jikoni. Jiko hili mbali ya kukupunguzia...
6 Reactions
109 Replies
35K Views
Kama kichwa kinavyojieleleza pintech fridge ya milango miwili inauzwa imetumika miezi 6 bei 350000tshs tu Pm kwa mawasiliano zaidi
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Ninauza compressor used ila haijatumika sana hii ni maalum kwa matumizi ya Maabara na kwa madaktari wa meno, Aina JUN-AIR Model: OF1202 - 40BD, bei ni Millioni 1, hii compressor bei yake...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Masomo ya preform one kwa mwaka huu 2019 yameshaanza! Masomo yanayofundishwa ni english course, mathematics, biology, chemistry, geography na phyisics!! Tupo kinondoni mwananyamala mkabala na...
1 Reactions
6 Replies
6K Views
BIDHAA/ MAHITAJI YAFUATAYO YANAPATIKANA PIGA/ SMS 0621 258 157 TSh100 Dar es Salaam, Tanzania printer ya epson l 805 (sifa yake inasafisha picha zote kuanzia ukubwa wa A-4, 5*7, 6*8, PASSPORT...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wasalaam Wakuu, All is Well. Husika na kichwa cha habari....kijana mwenzenu nimejichanga vihela kadhaa na kutaka kufungua biashara ya car wash nijikwamue ki uchumi hapa jijini Dar. Vifaa na...
1 Reactions
43 Replies
6K Views
Naomba kujua mahitaji na gharama (minimum cost) ya mashine ya kutengenezea mkaa mbadala inayoweza kuzalisha kati ya gunia 10 hadi 20 kwa siku....pia naomba kufahamu mahitaji mengine...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom