Tumia mchanganyiko huu wa viungo asilia kwa ladha nzuri ya chai yako na afya bora..weka oda yako sasa.piga 0754955846.sh 3000..MORNING ARE JOYFUL WITH JOY TEA MASALA...karibuni
Habari wana JR !
Kiwanja kinauzwa maeneo ya kigamboni Chenye ukubwa wa sqm 555 , kina hati na bei Tsh 9,000,000/= hakina dalali maelewano yapo pia . Ni pm kama kama utakua interested.
Je wewe ni mtu wa kuchat sana na unakosea herufi mara nyingi ukitumia simu za touch zisizo na physical keyboard?
Simu hii ikiwa na full qwerty keyboard inayokuwezesha kuandika kwa uharaka zaidi...
Karibu ujipatie mbeleko za kisasa, ongeza raha ya kubeba mtoto wako kwa kupendezesha muonekano wenu pamoja. Ritte Baby Sling itakurahisishia kumbeba mtoto mpaka mwenye 15kg... Wakati Ritte Baby...
Habari zenu naomba msaada wa kupata charger original ya HTC ONE M8 Charger yake niliyonunua pamoja na simu nilisahau guest house mjini DSM napatikana mbeya kwa sasa,Mawasiliano 0788643144...
Habari za leo
Natafuta gari Toyota Crown Athlete series
Mwaka: Kati ya 2004 mpaka 2008
Engine isizidi 2500Cc
Iwe ni 4WD (Kwa sababu mara chache chache huwa nasafiri kwenye barabara zenye...
Anayeweza kuniletea mahindi au nipate mahindi kwa bei ya chini kama gunia tano kwa ajili ya matumizi ya nyumbani .
Bei zipoje kwa watu wanaosafirisha tokea mkoani?
Ni pm kama unayo
Habari za leo wapendwa
Naona makampuni kibao yanatangaza kuuza viwanja kwa njia za mikopo ambayo unaweza kulipa hata kwa miaka mitano.Nimekuja hapa nataka kama kuna anaejua kampuni yoyote...
Lipo Kiwangwa kwenye kijiji kinaitwa Masugulu. Lina ukubwa wa eka 30, eneo ni zuri kwa uwekezaji wowote. Bei ni TZS M40. PM kwa maelezo zaidi na negotiations.
Akhsante.
Wadau kwema,
Nipo katika mchakato wa kufanya utafiti juu ya soko la miwa kwa hapa Dar es salaam. Kuna mambo ambayo ningependa kuyafahamu kwa wale wenye uzoefu na ufahamu mtakuwa msaada sana...
Wadau mwenye uhitaji wa kuku wa kienyeji kutoka SGD tuchekiane nauza kuku wa kienyeji pure ambao tunawakusanya Vijijini bei nafuu kabisa majogoo na makoo tunasafirisha kwa waliopo mbali uaminifu...
Tatizo hili limekuwa likiwaadhiri watu wengi sana kisaikolojia hasa baada ya kujiona wapo tofauti sana na wengine kwa kawaida mwanaume anatakiwa awe na uume kuanzia nchi 6-8 kwanza upungufu wa...
Kama kichwa kinavyojieleza... Nahitaji flat screen kabila la LG, Rising au Home base LED inch 32. Nina 320000. Kwa Mwenye quality products nichek whatsapp no 0757250913. Niko Songea. Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.