Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau napenda kufaham plain T-shirt ambazo zina ubora kwa hapa Tanzania nikimaanisha kwa wauzaji wa mikoa yote kiujumla bei yake ipoje kama mtu anahitaji kununua kwa jumla jumla sio moja au mbili...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Habari huku Nahitaji mbao ya mninga ,mbao 400 zenye futi 8-10. Ama mbao ngumu isiyoweza kuliwa na mchwa kwa urahisi. Niko moshi bei za hapa zimenizidi uwezo kwahyo ambae tunaweza fikia bei...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Habari wakuu kumekucha kutafuta pesa sasa Niende mojakwamoja kwenye mada tunahitaji kampuni ambayo inajishughulisha na EVENT ORGANIZE tunampango wa kufanya universally ya miaka kadhaa tangu...
0 Reactions
5 Replies
820 Views
I hope mko poa wakuu. Direct to the point... Kwa muda sasa nimekua interested na matangazo, napenda sana kusikiliza matangazo ya radio, tv hata nikiona tangazo (lolote tu lile) kwenye gazeti au...
1 Reactions
12 Replies
4K Views
Shule ina Mazingira Mazuri na Rafiki kwa utoaji wa Elimu Bora na Malezi kwa Mtoto. Wahi FOMU mapema, mitihani ya kujiunga itafanyika Oktoba 20, 2018 siku ya jumamosi.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Habarini za jioni, Kama wewe ni mtumiaji wa machine ya EFD nauza paper rolls na ninakuletea mpaka dukani/ofisini kwako. Delivery ni bureeee kabisa. Karibuni wapendwa no za simu 0767819395
0 Reactions
5 Replies
1K Views
sound card behringer UM2202 tsh 450000 mpya sound card behringer UCA202 tsh 150000 used mwezi 1 Behringer microphone tsh 300000 new Behringer Monitor Speaker 550000 used 1month Tuwasiliane pm
0 Reactions
9 Replies
9K Views
Jipatie king'amuz cha dstv sasa na uenjoy burudani kama zote HV. Kifurushi cha bomba ndani ya wiki hii • UEFA Champions League – SS 8 • Serie A – SS 8 • CAF Confederation Cup – SS 9 • Zambia...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Location: Dar es Salaam Processor: Intel Core i3 (6th Gen) Hard Disk: 500 GB RAM: 4 GB Operating System: Windows 10 Pro 64-Bit Additional Software: Microsoft Office Professional Plus 2013
0 Reactions
8 Replies
2K Views
(Windows 10 Pro,RAM 2GB,HDD 320GB) Clean condition na inakaa na charge haina shida yoyote.Location Dodoma mjini,ni pm for serious buyers only
0 Reactions
2 Replies
506 Views
Toyota .Corona, Premeo. Angalia picha . Inauzwa Mawasiliano: 0754 468 318 Rashid. Bei mapatano.
0 Reactions
3 Replies
37K Views
habari wadau.. mimi ni dobi.. katika kufanya expansion ya biashara yangu nimefanikiwa kuingiza machine kubwa sana kazaa.. ambazo per day naweza fua nguo 1000 bila shida... naona kama mashine...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Nipo mikoani naitaji kufanya biashara ya mahindi pamoja na choroko. Kwa ambao mupo mjini na mnahitaji mzigo tuwasiliane tafadhali. Mahindi nauza kwa gunia na choroko kwa kilo. Bei ni maelewano,kwa...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
FHabari kama kuna mtu anaitaji frem kwa ajili y biasharaa.. Eneo-ubungo opposite na moveck hotel barabaran kabsa... Kodi-180,000 kwa mwezi kod kuanzia miez 6.. Hamna udalali Nichki inbox kwa...
0 Reactions
2 Replies
704 Views
Wakuu naweza pata wapi Nokia 2 maduka ya simu
1 Reactions
4 Replies
812 Views
AKILIMALI COMPANY ni kampuni inayo jishughulisha na shughuli za DESIGNING AND PRINTING kwa gharama nafuu kabisa, Tunapatikana UZURI SINZA DAR ES SALAAM. HUDUMA ZETU: TUNA DESIGN NA KUPRINT;-...
0 Reactions
1 Replies
774 Views
  • Closed
Gari aina ya rav 4 milango mitatu inauzwa dollar 1800 ipo vizur kabisa ila imesajiliwa kwa namba za ubalozi imetembea Km 122625 cc 1990 za kuibadili kuja kiraia ni jukumu la atakaee inunua ipo...
0 Reactions
66 Replies
11K Views
Mayai yanapatikana kwangu tray 1 @8000/= ukichukua tray 10 na kuendelea bei @7500/= na ukiwa mteja wetu wa kila siku kwa muda wa kuzidi miezi miwili bei tutakupunguzia kuwa tray 1 @7000/=...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
Nauza A/C bado ipo kwenye hali nzuri haijatumika muda mrefu reason ya kuuza kuhamishwa eneo nilikuwa nafanyia biashara nabsitaendekei na biashara hiyo ilinunuliwa mpya 1.3 naiuza 800k..
1 Reactions
4 Replies
512 Views
Back
Top Bottom