Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wakuu naitaj fremu ya kupanga tandika kwa ajil ya biashara ya nguo nisaidien contact 0716100339
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Nahitaji shipping container Bei :2M (negotiable) Location: Dar es salaam Liwe na full documents Contacts:0756958798
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Viewing payed advertising sites wormoney.club - Welcome! you get up to ten cent UsD per view na unasemaje attract more and get earn
0 Reactions
14 Replies
3K Views
DMD Agiza movies nikuletee mpaka katika makaz yako BEI HIZI PAMOJA NA USAFIRI Nahusika na movies za KIBONGO ORIGINAL. @ 6000/= " " KIZUNGU ORIGINAL @4500/=
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wadau kuna member yeyote humu anayejua biashara ya uuzaji wa account za Instagram au Twitter? Kama yupo naomba elimu ya ufahamu kidogo. Kwa Muuzaji Anicheki WhatsApp: 0787220120
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Nilikuwa naomba msaada wa vyumba vya hostel karibu na chuo cha Uhasibu kurasini, kikiwa self contained na kuna kitanda kabisa itafaa zaidi naomba msaada wenu. Kama bei inafahamika pia naomba mnisaidie
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Type; Car Ge Long Speaker Turns your car into vibe These Ge Long Speaker are of the Very good quality Superb sound deliverable quanitiy; more than 100 units Tunapatikana Kariakoo, Dar es...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wale wenzangu mliokuwa na blog na mnaendesha maisha yenu kwa bloging na kulipwa na Adsense ni kwamba hiyo kampuni inakwenda kufilisika na sasa ina Ban publisher hasa wanaotola nje ya USA...
1 Reactions
25 Replies
5K Views
Jipatie Mbuge lavender hand wash(anti bacteria) kwa bei nafuu .. Jumla Tsh 23000 dozen na rejareja Tsh 2500 watu wa DSM na kibaha unaletewa adi mlangon na mikoan tunatuma .. Whatssap 0752120647...
1 Reactions
2 Replies
492 Views
habari wataalam!! naitwa Derc, ninauza mabanzi(papara), yanayotoka njombe. hili soko nimelilenga kwa wateja wa DSM(DAR ES SALAAM) ninauza kila banzi sh.3000/= kwa jumla. mzigo ni mkubwa...
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Kiwanja kinauzwa Tabata kinyerezi mwisho shule. Kina umbali wa dakika 2 kutoka kwenye lami. Kina mahitaji yote maji na umeme. Ukubwa 400sqmtr. Kina hati ya mauziano ya serikali za mitaa 0717022737...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Vyote vipo kando ya barabara za mitaa.Miundombinu ya umene na maji(DAWASCO) vipo tayari.Havijapimwa ila vipo kwenye eneo lilipangika kimitaa vizuri. 1.Upana mita 25*35 mita urefu.Ukitaka nusu...
2 Reactions
4 Replies
3K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza ningependa kujuzwa bei za jumla za hivi vyombo Disposable glass Disposable coffee cup Disposable spon and fork Disposable plate
0 Reactions
7 Replies
4K Views
Kiwe sehem nzuri, kinachofikika majira yote, Goba,matosa,tegeta A,bunju of a yangu 10m, kama unacho njoo Pm.
0 Reactions
4 Replies
828 Views
Wakuu Habari, Kwa vijisenti ninavyopata job, nimeona nianze kuwekeza kulima heka moja ya kitunguu. Nimelima huko Mpwapwa, kwa sasa naweka Mbolea. Nalenga nije kuuzia huku; ilala, Temeke, K/Koo...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Na forward taarifa tu kama nilivyo pokea.. 125 cc.. Gia 5.. Milioni Mmoja na Laki Mbili.. Haija tembea sana.. Iko Arusha.. If interested: Mpigie Mohamed: 0786-843829
0 Reactions
4 Replies
1K Views
HP Pavilion DV4 for sale! The Laptop is used but it's still in an excellent condition. Specifications: Intel Dual Core, 2.20ghz, 4gb Ram, 500gb Hdd, Screen 14.1 Inch Screen. HP Pavilion DV4...
0 Reactions
15 Replies
1K Views
Bei yake ni 350,000/- kwa atake hitaji anichek kwa 0714787658
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Wakuu kwanza nitangulize Salamu kwenu .Wakuu kuna wazo limenijia nikalitafakari nakuona ni-share na nyie ,kama mnavyojua kuwa ajira saiv zimekuwa ngumu sana cha msingi ni kuangalia namna ya...
1 Reactions
14 Replies
1K Views
Naulizia anayeuza hii
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom