Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wadau, Wakuu nauza kiwanja mbezi malamba mawili kina upana wa 20m kwa urefu wa 27 kipo eneo lilichangamka sana, ni umbali wa mita 300 kutoka barabara kubwa mpya ya lami ya kinyerezi mbezi...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Viwanja vipo Kigamboni Mbutu-Mkwajuni. Vimepimwa na vina mawe, Mnunuzi atamalizia kufwatilia Hati (Title Deed) kwa jina lake. Vina ukubwa tofauti tofauti , umeme umefika na panafikika kiurahisi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Sisi ni wajasiriamali kutoka Dodoma tuna wine yetu (semifinished)..ziko zaidi ya liter 100,000 ambazo ni pure.na tumetageti zaidi wanaofanya packing na wanywaji wengine.tunauza kuanzia liter...
2 Reactions
18 Replies
4K Views
Halow wadau, Kuna jenereta LD Motors toka Asia zinauzwa kwa bei ya jumla yaan million moja laki mbili badala ya million mbili, tuna clear mzigo kuimport mwingine, ukinunua zaid ya kumi unashushiwa...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari. Nipo bagamoyo-Sanzale kama kuna mdau yupo jirani na eneo nililopo ambaye ninayeweza nunua mayai ya kienyeji trei 1kila baada ya wiki tatu tuwasiliane.
0 Reactions
1 Replies
686 Views
Specification Year 1997 ingine capacity 1490cc millage 139000 Gari iko katika hali nzuri sana call 0783380123,0713794362
0 Reactions
11 Replies
2K Views
habari wadau.. mimi ni dobi vunja bei.. nina branch no 1. sinza - ambayo inahudumia sinza nzima na maeneo jirani kwa pick up and delivery branch no. 2 kigamboni inayohudumia kigamboni nzima...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam ndugu zangu na wapenzi wa masomo yangu leo tutaendelea na uchambuzi wetu wa majini na VITIMBWI vyoa na HILA zao ikiwa ni sehemu ya 2 tuanzie hapa SHWTANI...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Huu ni mfumo kwa ajili ya kuhifadhi kumbukumbu za wanafunzi kama malipo ya Ada,usajili na matokeo. Mfumo huu umeunganishwa na Bank pamoja na mitandao ya simu kwa ajili ya kupokea malipo ya ada...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
TUNAKARIBISHA MATANGAZO YA AINA ZOTE KWA BEI NAFUU KABISA KATIKA MTANDAO WETU www.hibazone.com BIASHARA NI MATANGAZO TUFATE WHATSAPP KWA NAMBA HII 0629206801
1 Reactions
1 Replies
444 Views
Habari za muda huu wapendwa, Ningependa tu-share bei ya mayai ya kienyeji mahali tulipo Mimi nipo mkoa Wa pwani wilaya ya kibiti huku kwetu hususani eneo ninalo ishi Mimi trey moja ya mayai ni...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
UJUMBE HUU UMEFUTWA
1 Reactions
3 Replies
910 Views
Hello wana jf.. Nauza viwanja vya beach vipo viwanja 34 vyenye ukubwa tofauti kuanzia sqm 600 viwanja viko puna kigamboni dar es salaam..umbali kutoka ferry ni km 40,bei ni sh 8000 tu kwa sqm...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari za majukum u wadau, katika pita pita zangu mitaani nikagundua watu wa ili eneo niliyopo wanahitaj kubwa sana wa cd za bongo movie na zilizotafsiliwa so nataka nifungue library ili iweze...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Ndg wadau, tumekuwepo hapa kitambo tukinadi shuguli zetu za upakaji rangi kwa materials mbalimbali , baada ya wateja kuwa na imani na sisi, tumekuwa tukiulizwa maswali mengi yanayohusu masuala ya...
1 Reactions
123 Replies
14K Views
Kwa mwenye nayo aniuzie iwe mpya au used lakini bei iwe nafuu
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Baada ya TCRA kufanya yao hali sio hali kabisa ndani ya Azam, hebu basi tujuzane wadau channels zipi nzuri ambazo zinaangalika ndani ya azam??
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habarin Wakuu, kama kichwa kinachojieleza hapo juu ... specifications ya gari hiyo ni , cc. 2980 fuel; Diesel Trans; auto millage; 113,000kms Price; 18M( maelewano yapo) contact; 0758975807...
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nyumba ina vyumba 3 kati ya hivyo kimoja self Ni family house Bei 650,000/= kwa mwezi Mawasiliano zaidi au kufika kuona wasiliana nami kwa 0756060183
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Back
Top Bottom