Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Kama kichwa kinavyojieleza sisi ni mafundi wa umeme wa majumbani na viwandani na tunafanya kazi za umeme kwa kufunga vitu vya kisasa na original kabisa na tunatoa guarantee kwa kila kazi...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Wakuu habari za mchana? Nauliza kwa mwenye kujua sehemu nzuri ya kufanyiwa massage kinondoni. Isiwe sehemu inayohamasisha ngono tafadhali...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
Click hapa https://jamiiforums.com/KNhNwnJlXP na download app,ujiunge ujipatie zaidi ya 10GB kwa siku buree,HAKUNA KUNUNUA VOCHA TENA.kwa mtandao yote fastaaaa click hapo kabla offer...
1 Reactions
12 Replies
2K Views
Habari wana jf.. Ningependa kutambulisha kwenu asiliatz ni ecommerce site(tovuti ya kuuza na kununua bidhaa mtandaoni). Asiliatz tofauti kidogo na ecommerce site zingine, imejikita zaidi kuuza...
1 Reactions
2 Replies
1K Views
Naomba anayejua Mullins/kampuni inayouza nguruwe wazuri ( wanaozaa watoto wengi na kukua kwa haraka) anijulishe. Nijibu humu au kwenye inbox binafsi: resbijura gmail.com.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
year 2006 miliage 122039 cc 1290 priice 6.5 mil Call 0712607003 for serious buyer only mm ndio mmiliki wa gari dalali hatakiwi.
0 Reactions
3 Replies
978 Views
Wakuu habari zenu! Nimekuwa nahangaika kwa muda mrefu kumuogesha mbwa wangu kwa madawa mbalimbali ninayoelekezwa na maafisa wa mifugo kama cypertop na nyinginezo bila mafanikio ya kudumu. Naomba...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
Nahitaji tajiri au kampuni ya kununua pikipiki mpya au used ili niingie nae mkataba wa mwaka mmoja. 1. Ukinunua pikipiki mpya kila wiki nawasilisha tsh 70,000*wiki52= 3,640,000/= kwa...
0 Reactions
25 Replies
4K Views
Niuzie subaru au altezza namba D Isiwe imefunguliwa sample ya gearbox wala engine. Isiwe imerudiwa rangi. Offer: 8M Karibuni. Cash ipo mkononi!
2 Reactions
0 Replies
471 Views
Habari wadau!? Kama kichwa cha Uzi kinavyojieleza hapo juu. Natafuta Mashine ya kukamulia Juice iwe ya motor ya Umeme au ya ingine ya Mafuta Iwe mpya au Used ila tu iwe kwenye hali nzuri...
1 Reactions
1 Replies
825 Views
Taa nzuri za mezani, ukutani, na ceiling zinapatikana hapa www.instagram.com/lampsdirect, tafadhali naomba unifollow, Call/text/whatsapp 0655308308. pia tuna group letu la taa . Lampdirect store.
1 Reactions
5 Replies
7K Views
Kwa ufugaji wa samaki kibiashara, kutana na mtaalamu kutoka SUA...... kwa mawasiliano zaidi piga namba 0753841717/0718823248
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Line iko safi haina shida unaweza kuja ofisin kwangu kuitest nipp ukonga dsm haina shida yoyote nakuunganisha na wakala mkuu nimenunua kutoka airtel makao makui nakuunganisha na wafanyakaz...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
wakuu naitaji lain tajwa hapo juu tigo pesa mpesa na airtel money mwenye nazo anidm
0 Reactions
4 Replies
679 Views
Najihusisha kukukutanisha na watu wanaojihusisha na maswala mbalimbali. Wafuatao ni moja ya huduma ambazo tunatoa; Maswala ya viwanja, nyumba, frem, magari, mazao mbalimbali, ma-house girl /...
5 Reactions
89 Replies
13K Views
Habari wakuu. Nina ekari tatu Morogoro ninaziuza, shilingi laki tatu kwa ekari moja eneo lililopo ni kijiji cha maji chumvi,kilichopo karibu na Mkundi(yaani Msamvu halafu Kihonda halafu Mkundi)...
1 Reactions
9 Replies
2K Views
1. Kiwanja Kinauzwa Goba Ukubwa 16M × 16M Bei Tshs 6Milioni 0675107182 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
8 Replies
1K Views
wana jamvi nina mpango wa kufanya biashara ya kusaga nafaka. Kwa wenye uzoefu na hii kazi naomba ushauri wa namna ya kupata mashine imara inayotumia umeme, bei zake pamoja na installation...
2 Reactions
39 Replies
7K Views
Nauza macbook pro retina Version:2015 Size :13” Ram:8GB Processor:2.4GHz core i 5 Storage :128GB In a good condition Price 1.8M Mobile:0788126474 Sent using Jamii Forums mobile app
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Back
Top Bottom