Habarini wakuu, natafuta rim paper za A4, nahitaji box kama 50-100 inategemea ntakua nachukua mara kwa mara kama kuna mtu anaziuza kwa jumla anichek offer 30,000 kwa kila box na ntachukua nyingi...
Habari wakuu kwa yeyote aliepangiwa K'S ROYAL MBEYA MJINI hii ndo budget unayotakiwa uipange
>school fee Tsh.2,330,000/=
>hostel
-self container room Tsh.350,000/= per year
-non self...
Habari wana JF
Ninaishi Jet Dar, nahitaji Bata Bukini, kanga weupe na kuku Kuchi au mbegu yeyote ya kuku wa kienyeji ya umbo kubwa.
Mwenye nao aniambie anapatikana wapi Dar na bei gani nije...
Habari za mchana wana jf Mimi nimekuja hapa kuomba kama itawapendeza kunipa kazi Mwenye kuitaji ufundi Wa Gari nipo Kwa ajili ya kutoa suluhisho,Natengeneza Tenk za sheli ,pia za kwenye magari...
Habari zenu?
Naomba kupata updates za bei ya tangawizi mwaka huu sokoni na pia kama kuna mdau humu ni mnunuzi au anaweza kunionganisha na wanunuzi wa uhakika.
Shukrani sana
habarini wanajamvi Mimi naomba kuuliza kwa anaejua bei za rasta prima afro aina zote ikiwemo wavings,rasta zenyewe,jamii ya selfie rasta ni bei gani kwa kiwandani naomba kuuliza na je?wanafunga...
Ni nyumba nzima yenye vyumba 3,
Vyumba viwili ni self-contained na moja ya kawaida
Nyumba imezungukwa na fence yenye maandhali yakuvutia
Kwa mawasiliano piga 0714686229.
Sent using Jamii...
Kumbuka kupaua ni mara moja tu.
Ukiharibiwa nyumba yako utakua umependa wew
Paua nasi kwa bei nafuu,kazi bora na uaminifu wakutosha
Pichani ni moja ya kazi zetu eneo la mbezi Msumi Dar es salaam...
Wana JF Naomba kama kuna anayefahamu gharama za kuchimba kisima kwa Dar
anipe picha kamili,ikiwa nikuanzia kupima mkondo maji,Site ni Bunju karibu na mpiji
natanguliza shukrani.
Habari,
Natafuta mtu wa kunifundisha kutengeneza mabango ya taa haya ya kwenye frames za biashara.
Kuna sehemu kuna fursa nataka niifanyie kazi.
Nipo tayari kulipia huduma hii
Napendelea mtu...
Je Unahitaji Nyumba Vyumba Viwanja n.k. Katika Eneo La Kigamboni na Viunga Vyake?
Nyumba self contained kuanzia TZS 250,000 kwa mwezi
Vyumba vya kawaida shared kuanzia Shs 40,000 kwa mwezi...
Kiwanja ukubwa square metres 690,Kina hati ya serikali
Nyumba:Ina vyumba* 3 vya kulala,kimoja master,kuna public toilet,dinnig,sebule na jiko.
Bei: 48M maongezi kidogo yapo
Kuna sehemu kubwa kwa...
Nauza bajaji mbili used aina ya TVS, zinafanya kazi muda huu zipo vizuri hazina tatizo lolote. Zipo dodoma mjini. Piga namba 07171760 kwa mawasiliano zaidi.
Bei 3.5M kila moja
available car for sale at our store
Toyota crown plate c 11 m maongezi
Gx 100 na back screen kal sana namba d 7m
nissan
Murano new condtion 16.5
Note 7.5
zinatafutwa
Noah new model namba d iwe kal...
PROJECTORS! PROJECTORS!
Tunauza projectors mpya & zenye ubora mzuri kwa matumizi yote bei ni sh.550,000/= tu. Zinaonesha ukubwa wa nchi 50 - 130, zinaingia flash, memory card, HDMI, USB, VGA nk...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.