Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari Wakuu. Nauza wallet za kiume za aina mbalimbali na bei tofauti tofauti. Nipo Ubungo DSM karibu na njiapanda ya UDSM +255758095750 Bei zipo za Elfu 15 Elfu 20 na Elfu 25.
0 Reactions
8 Replies
4K Views
Mahala popote ulipo ndani ya kisiwa cha Unguja na Dar es salaam tunakufikia kwa haraka zaidi, kwa muda wowote ule. Pia niwakala wa usambazaji na uuzaji ving'amuzi kwa gharama ileile tunakuletea...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Nahitaji scanner yenye belt kwa ajili ya machine ya Photocopy ,nipo DSM . Nicheki 0757036642
0 Reactions
0 Replies
577 Views
Kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa 20 x 25 eneo la Nyakurunduma - Bugarika Jijini Mwanza kinauzwa MILIONI 4.5 za kibongo. Unaruhusiwa kulipia kidogo kidogo kwa awamu NNE. Vilevile pungufu...
0 Reactions
0 Replies
583 Views
Tunauza izo bidhaa na kufanya installation kwa bei nafuu kabisa with warrant : *Air condition supply , installation and repair *Security system and access control system such as 1.camera...
0 Reactions
1 Replies
617 Views
Viwanja havijapimwa vinapatikana Mkonze Dodoma mjini kilomita 10 kutoka mjini na ni kilomita 1 kutoka barabara ya lami. Ukubwa ni mita za mraba 600, bei ni milioni 1.6. Mawasiliano 0758 004 568...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari wanajukwaa nauza sterilizer mpya inafaa kwa kusafishia vifaa vya salon za kiume na za kike kama vile mashine za kunyolea,vitana brush na kadhalika. Napatikana DSM Bei Tshs170,000/-...
0 Reactions
3 Replies
4K Views
Kwa Dar tu,Wapi naweza kufunga full music system kwenye gari kwa bei nafuu na vifaa original
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Nahitaji kununua godoro bora lisilo bonyea hovyo, nitajie godoro bora tafadhali
1 Reactions
15 Replies
6K Views
Tunafanya ujenzi wa aina zote Tunachora ramani aina zote [emoji8]Call/whatsup us +255624004650
0 Reactions
0 Replies
699 Views
Tunafanya ujenzi wa aina zote Tunachora ramani aina zote [emoji8]Call/whatsup us +255624004650
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Salute bosses, Nakuja na hii ofa mbele yenu karibu nikufundishe kutotoresha mayai kwa njia ya asili Ambapo njia hii haitachukua kiasi kikubwa cha mayai. Vilevile Kutengeneza eggs incubator...
1 Reactions
15 Replies
39K Views
Kiwananja kinauzwa mbweni malind wilaya ya kinondoni kina did title ya widhara kina squre miter 949 kwa mawasiliano pig 0655437650 au WhatsApp 0783359939 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
3 Replies
1K Views
K7,K9,K8 WX4 simu zisiwe na kasoro,lazma nikague kwanza ndio nilipie,kama uko tayari nichek 0625547181 WhatsApp tu. Bei itabadilika kulingana na muonekano wa simu.
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari, Mimi nimelima mihogo, Ipo mlandizi sehemu moja inajulikana kwa jina la mzenga, ,Nimekosa soko, Naombeni mnisaidie ni wapi naweza pata soko, Nimelima heka 4 , Aina ya mihogo na mbegu ya...
0 Reactions
7 Replies
3K Views
Naheshimu sana uwepo wa JF na nna thamini sana uwepo wa wanafamilia. Me ni mmoja mwanafunzi nnasoma BSc. In Laboratory Technology DIT nimetafuta field sana bila mafanikio na nilitakiwa kuanza 27...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Kiwanja kinauzwa kipo mbez beach squre miter 1200 kina hati ya widhara milioni mia 50 mazungumzo yap ni kiwanja cha 6 kutoka beach mawasiliano 0655437650 au WhatsApp 0783359939 Sent using Jamii...
1 Reactions
6 Replies
968 Views
Wanabodi, Yeyote mwenye kiwanja Dar es Salaam anayetaka kuuza kwa bei hiyo tajwa, milioni 3, tafadhali ajitokeze tufanye biashara. Sifa ya kiwanja kiwe kinafikika kwa gari na huduma za jamii ziwe...
2 Reactions
111 Replies
14K Views
Kiwanja chenye ukubwa wa 500 sqm ( 25×20) eneo la Nyakurunduma - Bugarika jiji la Mwanza kinauzwa kwa bei ya tshs 4.5 M. Kwa maelezo zaidi wasiliana kwa namba 0762524995.
0 Reactions
3 Replies
865 Views
Nahitaj godoro la 5*6 Niko ubungo msewe hela ipo mkononi Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
632 Views
Back
Top Bottom