Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mnunuzi au wanunuzi wa mahindi ya njano kwa ajili ya matumizi ya binadamu anitafute nina mzigo. Mahindi yamelimwa bila ya mbolea za viwandani, dawa za kuulia wadudu, na yamehifadhiwa bila...
0 Reactions
18 Replies
8K Views
Jipatie pedi nzuri kabisa nyingi kwa bei chee.. ina ujazo wa pedi 10 ndani ya packet. inauzwa kwa rejareja tanzania shilingi 3,000 kwa packet na jumla ni shilingi 2,500 kwa packet. jumla inaanzia...
0 Reactions
0 Replies
6K Views
Habari wana jf ...nilishawahi kuja humu kutangaza kuhusu uuzwaji wa nyumba iliyopo maeneo ya tabata segerea(maeneo kwa mashilingi) SIFA ZA NYUMBA 1)Nyumba ina tiles na gypsum,umeme pamoja na Maji...
1 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari wadau...mimi nina gari Nissan patrol iliyo katika hali nzuri sana especially engine..natafuta mtu mwenye gari ndogo yenye thamani isiyopungua mil 8 ambae ana uhitaji wa gari kubwa tuweze...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Ipo Bahari beach, imejengwa kama apartment 2 na kila moja ina vyumba 3 Na pia kuna nyumba ndogo ya nyuma yenye vyumba 2 self Size plot 2500sqm Imezunguushiwa fence na geti ipo Bei 370ml Hati...
2 Reactions
34 Replies
3K Views
Eneo lipo igawilo ukubwa eka moja Sifa ya eneo 1. Linafaa kwa kilimo 2.lifaa kwa ujenzi wa nyumba ya kuishi etc 3. Linafaa kwa ujenzi wa hostel na nyumba za kupangiza 4. Lipo jirani na barabara...
1 Reactions
0 Replies
613 Views
Ubora wa gari lako unategemea na ushauri pamoja na maelekezo ya utunzaji wake,gari nyingi zinaharibika mapema kutokana na ushauri mbovu na kutozingatalia alama na dalili za viashiria. Karibu Jeri...
2 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari zenu naomba msaada nielekezwe nitawezaje Kupata mmafuta ya electonic cigarettes in Dar ..msaada please
1 Reactions
5 Replies
823 Views
Kiwanja kinauzwa maeneo ya dege Kigamboni chenye ukubwa wa mita 35*35. Kipo maeneo ya dege Kigambon jiran na yale magorofa. Hakipo mbali na barabara. Hakijapimwa ila kiko kwenye maeneo ya makaz...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Natafuta pikipiki aina ya vespa used ila iwe kwenye hali nzuri mie nipo Mwanza. Hata kama unamfahamu muuzaji naomba niuunganishwe nae, whatsapp 0753601095 bei inategemeana na muuzaj
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Wakuu natafuta GARI na pikipi k za zamani ..Iwe vespa inatembea n.a. gari iwe comb Ile ya abiria.nipm au piga 0679393461 uniuzie
0 Reactions
1 Replies
703 Views
Nataka mtu anayeuza magari used ndani ya Zanzibar ninataka kufanya naye business, ni Pm
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Shekh Khassan Makarama sasa yupo Ungija ni yule mchambuzi wa majini,nyota na ndoto sasa ameingia Zanzibar anapatikana KIDIMNI KWA KANDURU wasiliana nae kwa no 0757144465au 0656228832 Usisumbuke...
0 Reactions
4 Replies
842 Views
Kama kichwa cha habari kinavyojielezea hapo juu nahitaji vijana wanne Dar es salaam ambao hawafikirii kabisa kuajiriwa baada ya kuhangaika kutafuta ajira Cha kufanya njoo inbox nielezeee business...
6 Reactions
21 Replies
4K Views
Nipo Morogoro mjini Nauza line ya M-Pesa kama unahitaji njoo PM
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Uwanja unaupana wa mita40 urefu mita50 upo mbeya jiji iyunga umeme maji barabala vyote vipo kasolo hati2 !bei mil 25 simu 0766 85 71 20 au 0653 53 89 71 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
708 Views
habari wakuu nauza iphone 6 plus mbili slightly used kama unavyoziona kwenye picha iphone ya gold 16gb nauza laki 5 na 80 tu iphone 6 silver yenye glass screen protector very clean laki 6 na 17...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Incubator ya mayai 2300 inauzwa kwa bei nafuu 2,800,000 tshs. Kwa maelezo zaidi 0716865662 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
908 Views
Incubator ya mayai 2300 inauzwa kwa bei nafuu 2,800,000 tshs. Kwa maelezo zaidi 0716865662 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Full boxed with Adapter Specification; Hp RAM 4GB, Hard disc;1Tr Core i3 Battery inauwezo wa kawaida sio mkubwa sana. Soft ware iko up to date with apps,games and movies kibao Haina tatizo lolote...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom