Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Wadau habari, Naweza pata eneo la wazi, au mahali pa kuuzia chakula maeneo ya kinondoni? Angalau sehemu ya kuweka meza 10 za chakula, kwenye hii barabara yanapopita mabasi ya makumbusho -...
0 Reactions
0 Replies
676 Views
Tsh 400000 Hizi apartment zipo 3 ktk compound moja apartment moja hiyo ground flow(kwa chini) kupo wazi,Ina vyumba 3,master kimoja,INA makabati ,jiko,public toilet,umeme inajitegemea na parking...
0 Reactions
0 Replies
728 Views
Msaada, Nahitaji chumba cha kupanga maeneo ya Sakina au maeneo jirani na mjini. Mawasiliano;0757366915 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
1K Views
NINI: Bajaji mbili zinauzwa WAPI: Chamazi Tambani, kupita Azam complex ZIKOJE: Ni bajaj mpya, zimeendeshwa kidogo.zinatumia umeme kidogo ukichaji na kukuwezesha kuendesha masaa zaidi ya tisa.Pia...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu,nimehamishiwa kikazi wilaya ya Handeni hivyo nahitaji nyumba nzima yenye uzio wa kuegesha magari kuanzia mawili kama kunamwenye nayo humu basi muhitaji nipo hapa
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Modern diesel engines require clean, dry fuel for optimum combustion, maximum power and the lowest emissions level. Dirt and water are enemies of High Pressure Common Rail fuel systems and can...
0 Reactions
1 Replies
516 Views
NINI: Shamba la ukubwa wa hekari 22 linauzwa WAPI: Lipo Mbwawa Mjini,kilichopo kilometa 0.9(Mita 900) toka Bagamoyo road, LIKOJE: hekari 22 zina ardhi ya mchanga na mfinyazi,eneo hili lipo...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Nafungua Pharmacy, afrika sana. Natafuta pharmaceutical dispensers wawili walio sajiliwa. Akipatikana anaye ishi maeneo ya Sinza, mwenge, kijitonyama ama ubungo itapendeza zaidi. Kama ujuzi huo...
1 Reactions
0 Replies
568 Views
Nimelima ekari 4 za mihogo hapo Mlandiziziko tayari kwa kuvunwa! Natafuta Masoko!! Pia majirani wengi tu wana mihogo wanatafuta Masoko!!! Tuwasiliane kwa namba ‭0754 850 689‬ na 0762338922...
0 Reactions
5 Replies
976 Views
SOLD SCREEN SIZE: 5 Inches NETWORK: 2G, 3G & 4G SIM: Dual Sim RAM: 2GB INTERNAL STORAGE: 16GB CAMERA: 13MP BACK CAMERA: 13MP BATTERY: 3000mAh MAHALI: Dar MAWASILIANO: Huu muonekano wa...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari wadau! Nimelima tikiti hekari moja huku runzewe mkoani geita natafuta soko. Katikati ya mwezi huu (sept) zitakuwa zimefikisha siku 90.
1 Reactions
6 Replies
1K Views
NATAFUTA SOKO LATIKITI MAJI CALL 0762799735
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Habari. Nauza Xiaomi Mi band 3 kwa Laki 1 tu yenye specifications zifuatazo: -Inapima Mapigo ya Moyo (Heart Rate monitor). -Inahesabia hatua ulizotembea (Steps counter). -Inapima umbali...
0 Reactions
2 Replies
901 Views
SIMU ZA MEZANI (New models) Bei ni sh 125,000/= tu, zinaingia laini yeyote (single & double), betri ya kuchaji, fm-radio, inatuma sms, loudspeaker nk. Tupo Dar es salaam @ Temeke, deliveryipo...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Kichwa cha habari hapo juu chahusika, ninaomba kama kuna kijana ambaye ni technician wa civili engineering ambaye yuko mkoa wa Iringa au mikoa ya jirani tuwasiliane. Kuna biashara nataka...
0 Reactions
1 Replies
668 Views
Nyumba nzuri sana inapangishwa ipo sekei Nambere.Nyumba ina master kubwa na vyumba vingine viwili vya kulala vyenye makabati ukutani.Jiko lipo fully furnished.Sebule na Dinning ni...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunauza Kiwanja Chenye Ukubwa wa Sqm 300. Kipo Goba Muungano, Umbali wa Kilomita 3 Kutoka Salasala. Bei Tsh 6Milion. Serious Buyer PM Or amsumi360@gmail.com Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
0 Replies
820 Views
Maeneo ya Tegeta, Kunduchi ..bajeti mpaka 40M. Kisiwe kiduchu sana..na matapeli nitawafunga..nawaonya pesa haitatoka kilaini kama mnavyofikiria!!
8 Reactions
34 Replies
4K Views
Vitabu vya bure Public Domain | Feedbooks Free Computer, Programming, Mathematics, Technical Books, Lecture Notes and Tutorials
3 Reactions
7 Replies
7K Views
Habari wana jamii forum,ninauza mashine ya kusagia juisi ya miwa...yan ni mashine ofisi nkimaanisha mashine na kijumba kbsa na shelf zake....ni ya umeme na ni mpya kabisaaa....kwa bei chee,ambae...
0 Reactions
18 Replies
3K Views
Back
Top Bottom