Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wana jf, baada ya muda nimerejea tena online kwa wana Mwanza kama kichwa kisemavyo nahitaji magari aina zote ya kisasa, kizamani, yanayotembea, yaliyoharibika au yaliyopata ajali. Kumbuka...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
Wadau kama kichwa kinavojieleza .nimenunua harrier ina sport rims na tairi zake mpya kabisa ambazo ni size 20 .ila nimekuja kuenda kwa fundi wakati analikagua akasema size ya rims kwa harrier...
0 Reactions
22 Replies
5K Views
hello jf! kampuni yetu inaitwa Hieview international co Ltd,tuko mikocheni nyuma ya nyumba za mawaziri,tunauza matairi mapya ya magari kwa bei ya jumla,matairi yetu yanaitwa roadcruza kutoka...
0 Reactions
51 Replies
10K Views
Gari nzr sana n iko kwenye hali nzr inauzwa Mwaka 2003 Cc 1290 Bei 5.8m Maongezi zaidi nakuja kuona wasiliana nami kwako 0756060183 Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari mwenye kisimbusi (king’amuzi) cha Azam used anayeweza kuniuzia bila dish lake tuwasiliane 0718166275 au 0745305256.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Ninauza mchele wa kahawia (brown rice), kwa anaehitaji anaweza nicheck PM tuka-arrange namna ya kukufikishia mzigo. Kwanini mchele wa kahawia (brown rice)? - Una madini zaidi ya manganese...
2 Reactions
4 Replies
4K Views
Wakuu natafuta Suzuki Every; Simu: 0623 509362 Mimi nipo Dar Budget yangu: 3m - 5m
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Naomba kujua kuna self storage service Dar? Kama ipo , maeneo gani na bei/mawasiliano, mwenye kujua tafadhali.
0 Reactions
2 Replies
826 Views
Mwenye kuhitaji Kitimoto bei ya jumla shs 6,500/= Kwa dar es salaam piga simu 0692 946600 Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu habari za humu! Naombeni msaada kama kuna mtu anayejua sehemu ambayo naweza kupata vitoto vya nguruwe wa kisasa/vifaranga kwa Arusha. Nina mpango wa kuanza na idadi ya 25 halafu baada ya...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Mwenye nayo aweke bei hapa tuone kama tunaweza kufanya biashara.
0 Reactions
9 Replies
904 Views
Habari za mshughuli wakuu, kwa kuwakilisha tu kama kuna mtu anashughulika na lorry za mchanga, kokoto na kadhalika maeneo ya mwasonga kigamboni aje hapa kuna kazi zinahitaji trip za mchanga (lorry...
0 Reactions
2 Replies
960 Views
Wakuu nauza glasa cover ya screen ya macbook pro laptop.Cover ni mpya kabisa ipo kwenye box lake. Nicheki DM tufanye biashara. Bei ni 90,000. Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
0 Replies
710 Views
Habari zenu wadau, Ninauza shamba zuri na tambarare liko karibu sana barabara.Linauzwa Kwa Shilingi za Kitanzania milioni kumi lakini maongezi yapo pia.Shamba liko Kimbiji kwa Morisi...
0 Reactions
65 Replies
8K Views
Nina shida ya kuchimba kisima kifupi cha MAJI ya kunywa cha malingi chenye urefu wa mita 30 hapa Dsm, ni sehemu laini yenye chemi chemi kwa hiyo sioni sababu ya kufanya survey. Gharama ya ufundi...
0 Reactions
5 Replies
6K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam ndugu zangu katika imani na ndugu zangu katika Adam leo ni siku ya jumatano ni siku ambayo hutumia kuelekeza aina ya dawa fulani kwa wenye matatizo fulani...
0 Reactions
0 Replies
558 Views
Habari wanajamvi, Naomba niende moja kwa moja kwenye swali langu, hivi ninawezaje kupata mavazi ya kuvuna asali? Wakuu habari zenu wote. Ndg zangu naombeni msaada wa kunijulisha wapi naweza pata...
0 Reactions
31 Replies
9K Views
Wapendwa habarini za mida, bila shaka mu wazima wa afya njema, ninauza laptop dell imetumika kwa mwaka 1 na mienzi 5 iko katika hali nzuri... Ninaiuza kwa sababu nina shida ya pesa ,,, Napatikana...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu inshaallah tunaendelea na mfululizo wa kuchambua na kuangalia baadhi ya nyota na tabia zake.Hapa tunaangalia watu wenye nyota hizo wanatabia gani katika mapenzi...
0 Reactions
37 Replies
8K Views
Back
Top Bottom