Habar za kazi wadau,kuna cover nzuri za Biblia zinazotengenezwa kwa vitenge ,cover hz unaweza ukazifua zikichafuka bei ni 6000 kwa siz kubwa na size ya kati ni 5000/na size ndogo 4000 kwa...
Habari za leo wakuu, napenda kuuliza wapi naweza kubadili dolla 100 ya kimarekani ya mwaka 2003? nimepita kwenye bureau nyingi hawachukui mpaka iwe ya 2006 na kuendelea, hata Barclays Bank...
Nauza macbook air kwa bei poa
Year:2015
Size:13 inches
Processor:core i 7
Ram:8GB
Storage:512GB SSD
Cycle count :71
No scatch new condition
Bei: 2Million(fixed)
Mobile:0752960458
Sent using...
Habar wakuu...
Nahitaji refrigerant sealant kwa ajiri yakuzibia Coils zina leakage nimechoka kuongeza gas kila mara...
Mwenye nazo anicheck..
Nipo Tegeta
0675-425-148
Sent using Jamii Forums...
Kama heading ilivyo apo wakuu....
Nnahitaji room ya kupanga iwe self au normal ila isizidi 70K
Maeneo ni...
1.Temeke kuanzia keko mpka devis kisiwe mbali na main road.
2.Manzese
3.Makumbusho...
Jamani nnashida kweli na hela,naiuza simu yangu Samsung S4 used 8months kwa laki 2 tu nilipe kodi wiki hii,ila picha nashindwa weka,nikibonyeza hapa paku upload haileti option yoyote.simu IPO...
Full boxed with Adapter
Specification;
Hp
RAM 4GB,
Hard disc;1Tr
Core i3
Battery inauwezo wa kawaida sio mkubwa sana.
Soft ware iko up to date with apps,games and movies kibao
Haina tatizo lolote...
Gold colour
Ni ya mwaka jana
Haijafunguliwa wala kupelekwa kwa fundi
Bei ni 220000 ila maelewano yapo
Mawasiliano ni 0766322881
Sent using Jamii Forums mobile app
Katika experience yangu na JF tangu 2012 sijawahi kuona kabla vitu vikiuzwa kwa bei poa kama sasa na bado havinunuliwi ni shida yaani, laptop sasa hadi laki moja, smart ndio hadi 50k, friji hadi...
5 × 6 bed set ( with mattres ) cha kisasa na godoro 8inches Tsh 600,000
Dressing table Tsh 200,000
Kabati 2 doors Tsh 300,000
Vyote sh 1M.
Vipya na original (not chinese) with guarantee.
I...
jaman wana jf natumain ni wazima wa afya naitwa Emmanuel niko mkoa wa songwe no mzaliwa wa huku kwa yeyote ambaye yuko interestd kufny biashr ya magimb,maharg na karang namkaribisha tuwasiliane...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.