Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wadau! Nina gari aina ya Toyota MarkII JZX100 model. Nilikuwa nahitaji kubadilishana na benz yoyote ya mwaka 2000 na kuendelea. Au gari yoyote nzuri, Kwa aliye tayari aje tuyajenge. Sent...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
ni mpya ipo full boxer kwa ajili ya kusoma matumizi ya umeme ipo mbagala zakhem au piga 0784030056
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Laptop aina ya dell inauzwa. ina matatiz y saut maanaake lazma utumie headphone au redio. bei in 170,000. haijatumika muda mrefu. ukihitaj nichek 0654213122. npo dar_ mbagala.
0 Reactions
8 Replies
931 Views
Friday Offer Laptops Laptops Laptops ______________________________ Dell Insparion RAM: 4GB HDD: 320GB Processor: 2.87Ghz Price: 350000 Call: 0719223137 Location: Sinza Sent using Jamii...
0 Reactions
2 Replies
655 Views
Jipatie viatu vya mtumba (Raba) za kiume kwa bei ya Tsh. 15, 000 /= tu.! Kwa Dar tunakuletea hadi mlangoni kwako. Tunapatikana Karume, Machinga Complex. Contact: 0657 89 55 90. Sent using...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Habari Mtwara kwa mwenye apartment ñzuri na yenye usalama kwa 100% please ni pm N.B shangani apartment nazijua sihitaji hapo
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Kitabu kinachoitwa UNDERSTAND PERSONAL BUDGET kipo mtaani. Chukua Nakala yako kwa kuwasiliana nasi kupitia +255778800530. Bei ni Tsh 10,000/- tu Utaletewa ulipo. Karibu sana. Sent using...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Wakuu nahitaji bajaji used kwa ajili ya biashara hapa mjini Dar, kama kuna mdau anauza au anaweza kuniunganisha na anaeuza nitashukuru sana. Budget yangu ni Million mbili na nusu (2.5M) mpaka...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Perfect aluminium Fabricators ni wataalam wa kutengeneza madirisha, milango, partitions na bath tubs za aluminium na vioo. Ofisi zetu ziko Salasala Dar -es -Salaam karibu na kanisa la Nabii Flora...
0 Reactions
5 Replies
8K Views
Wajenzi wa nyumba za gharama nafuu pia ni wauzaji wa vifaa vya ujenzi kama; mbao,nondo,mabati,mirunda,gypsum board,marine board plywood nk.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Suzuki swift 2005,1300cc for sale 7.8m fixed call 0769038065
0 Reactions
2 Replies
1K Views
napatikana mkoa wa songwe kwa yeyote anayehitaji pumba ya mahindi na mpunga kwa ajir ya matumizi mbali mbali naomba tuwasiliane 0752010736,0785945242 tuwasiliane nitakutumia popote ulipo karibuni...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
For Sale, Toyota Harrier. Model 2000 Km 148K cc 2200 Ipo Dar es Salaam, Mbezi juu (Goba). Asking price , 12 Mill, maongez yapo. ina comprehensive insuarance inaisha mwakan July. PM for more details.
0 Reactions
0 Replies
591 Views
Wakuu salamu. Shamba lipo Kibiti-Shinyanga, 10km toka barabara iendayo Mtwara... Shamba ni safi na linafaa kulima ufuta, kuna nyumba... Ukubwa wa shamba ni heka 30... Bei ni 12ml. pungufu...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Bado mpya kabisa, Ipo dodoma mjini, Feature: 1.SMS Tracking:this tracker can reply the position information to the admin number with google map link. 2.GPS,AGPS and LBS positioning...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kama kichwa cha habari kisemavyo nauza Shamba langu ambalo lina ukubwa wa ekari 6 Shamba lipo kijiji cha kipangu ushetu Kahama Shamba lina lutuba yakutosha na linafaa kwa kilimo na mkazi bei ni...
0 Reactions
2 Replies
882 Views
Wakuu kutokana na vyuma kukaza ninauza Shamba langu ambalo ni ekari 8 Shamba lipo Kahama kijijini linafaa kulimwa mazao yote bei ni laki 300000 kwa ekari karibuni sana
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Kama kichwa cha habari kilivyosema nauza shamba langu ekari kumi lipo kahama bei ni milioni 7 tu shamba linakubali kulimwa mahindi maharage pamba karanga nk
0 Reactions
9 Replies
1K Views
wakuu salaam zetu. ninauza pikipiki bei 2.6m 150cc imetembea 1577km. automatic ipo dar,warehouse Hii pikipiki haijatumika Tanzania.kwa maana hyo bado haijasajiliwa.pikipiki ni imara ,inatulia...
0 Reactions
55 Replies
15K Views
Back
Top Bottom