Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
nikiwa naimani ya kuwa JF ni zaidi ya kijiji na kina mawakala kila kona ya nchi hii naamini pia naweza kupata msaada mkubwa humu wa kimawazo kutokana na tukio la wizi wa gari lilioniksibu...
0 Reactions
34 Replies
6K Views
Tunatoa huduma za bima Aina zote kwanjia lahisi Sana na ya kisasa tupo Mara wilaya ya bunda pia mwanza buzuruga plaza na dar-es-salaam makao makuu tupo urafiki au piga Simi namba 0766613890...
0 Reactions
1 Replies
580 Views
baada ya kuibiwa gari langu na kutokuwa na matumaini ya kulipata tena, nimerudi kijijini kutafuta mchuma utakao weza kuniliwaza kwa kipindi hiki kigumu kwangu. hivyo basi natafuta gari ndogo aina...
0 Reactions
39 Replies
9K Views
Habari za muda huu Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha usimamizi wa fedha (IFM)nachukua degree ya accountany mwaka wa pili kuingia watatu,nilikua nahitaji kupata firm itakayoweza kuniruhusu kujifunza...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
The Victoria Vachino Inakufahamisha kua mzigo mpya wa senene umeingia wanapatikana katika ubora ule ule na virutubisho(viungo) vimeongezwa bei ni ile ile Tsh 7000 kwa pakti ya gram 200, tumesogeza...
3 Reactions
30 Replies
7K Views
Lake V fish monger tunawatelea dagaa za kukaanga, senene za kukaanga pia SAMAKI fresh wabichi directly from BUKOBA(ZIWA VICTORIA) bei zetu ni 1. Samaki kwa bei ya Reja reja kwa kilo ni sangara...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Habari za weekend wana JF. Machine ya SELCOM kwa ajili biashara ya kuwa wakala inauzwa tsh 350,000/=. Haina tatizo lolote na ina muda wa meizi 3 tangu inunuliwe. Ninauza kwa kuwa nabadilisha...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Peugeot 404 pikup inauzwa maeneo ya Arusha mjini, iko katika hali nzuri na inaweza kufanya vizuri sana hasa kwa watu wa mashambani na ina roho ngumu hasa kwa kubeba mizigo sokoni, minadani nk. Bei...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Igweeeeee Hakika hali si shwari kwa hawa makamanda wa chadema, si katika uchaguzi mdogo wala kwa shughuli zao binafsi Hapo awali yeriko nyerere alitambulisha vitabu vyake vitatu kwa bei mbaya...
2 Reactions
54 Replies
6K Views
Nyumba ipo mbezi beach Afrikana, jirani kabisa na hotel za giraffe, lamada,whites and nk Nyumba ina vyumba 4 vyote ni self Kuna nyumba ndogo 2 za wafanya kazi Size plot 3500 sqm Bei 550m Tsh...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Heshima kwenu wote, Nahitaji kununua housing/kasha la laptop ya lenovo ideapad S300. Kwa mwenye nalo naomba anitumie PM. Au aweke details zake hapa nitamtafuta. Asante
0 Reactions
2 Replies
496 Views
Nyumba ipo BANGULO karibu na PUGU mnadani ina vyumba 3 vya kulala kimoja ni MASTER, dining na sebule,jiko,public toilet na baraza mbili ya mbele na nyuma... BEI ni TSh 39,000,000 UMBALI kutoka...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Natafuta fundi seremala mchapa kazi ambae tunaweza kuanza kufanya kazi wote kwenye biashara yangu mpya ambaye yuko interested aniPM tuzungumze.Asante Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habar za jion wapendwa. Samsung tv yenye king'amuzi ndani yake na chanel kibao za ndan na nje bila malipo inauzwa tv bado ina hali nzur na imetumika miez 5 ina kila kitu chake yaan iko full box...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
Naiuza 950,000/ ..... Ni mpya..... Ni kwa ajili ya matumizi ya guitar...... Kwa mawasiliano piga sim 0715591141 dar Ova Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
7 Replies
2K Views
A,aleykum warahmatullah wabarakatu naam ni yule yule Shekhe Khassani Makarama bingwa wa kutafsiri ndoto na kutabiri nyota sasa anawaalika wale wote wenye kutaka kujua nyota zao na maana ya ndoto...
0 Reactions
36 Replies
5K Views
EVAG Consulting Firm (T) Ltd is a Tanzania based company which is established and was registered under the Tanzania company act 2002 with the aim of helping the general startup and prosperity of...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Sent using Jamii Forums mobile app
1 Reactions
21 Replies
6K Views
Shamba la hekari 2 linauzwa linapatikana kunakojengwa bandari kavu na reli ya mwendokasi (KWALA). njoo ujipatie umiliki wa ardhi na uendane na ukuaji wa kasi hapa kwala wilaya ya Kibaha. kwa...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari za saizi wakuu: Mimi nimfanya Biashara Wa Gas Nipo Arusha Nimeamua Kuanza kufanya Huduma ya Delivery Huduma hii ni Bure mfano Gas Yako Imeisha Ukinipigia Simu Nakuletea Mpaka Nyumbani...
3 Reactions
13 Replies
2K Views
Back
Top Bottom