Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Naomba kujua kuna self storage service Dar? Kama ipo , maeneo gani na bei/mawasiliano, mwenye kujua tafadhali. [emoji1308]
1 Reactions
30 Replies
2K Views
kama vina vyoonekana katika picha vikiwa na hali nzuri Chombo cha kuokea keki tsh 10,000 raba tsh 15,000 gauni tsh 5,000 nipo dsm
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Wakuu natafuta sehemu ya kuweka mchele wangu toka mbeya kyela ili nianze kuuza maeneo ambayo ningependa iwe Mbezi mwisho au Tabata Reli au segerea kule bajeti yangu kwa mwezi haizidi laki Sent...
0 Reactions
8 Replies
935 Views
Habari wanabodi..! Inahitajika kwa haraka sana HOME APPLIANCE TRACKING SYSTEM ya kufunga katika TV, HOME THEATRES, RADIO, etc Kwa yeyote anayejua kampuni au anayeshughulika na HOME TRACKING...
0 Reactions
1 Replies
404 Views
Dearest, [emoji830]Leo naomba nishee nawewe kuhusu kitu kinaitwa crows feet. [emoji830]Crows feet ni mikunjo inayotokea pembeni ya macho hasa ukicheka. [emoji830]Mtu yoyote kuanzia miaka 25...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Ninauza TILL za: 1. M-pesa = 170,000 2. Tigopesa =140,000 3. Airtel money=55,000 4. Halopesa =50,000 5. Ttcl pesa. =50,000 Bei ni nzuri kabisa na ninapatikana Mbeya mjini. Kama unahitaji...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Natafuta vyombo vya kuokea cake na mikate shepu mbalimbali, viwe vya bati aliye navyo please PM tufanye biashara.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam wakuu, Ama baada ya salaam naomba kama kuna mwenye kujua wapi nitapata taa za nyuma (hasa taa ya kushoto) za gari aina ya Starlet anijuze na bei kama inawezekana. Taa ni zile za ndizi...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kiwanja kilichopimwa chenye ukubwa wa 20 x 25 eneo la Bugarika Jijini Mwanza kinauzwa MILIONI TANO TU za kibongo. Wasiliana kwenye namba 0762524995.
0 Reactions
0 Replies
984 Views
KARIBU SANA MSOMAJI WA MAKALA MBALIMBALI KATIKA BLOG YETU(MTEGA BLOG) MATUMIZI YA BLOG 1.KUWEKA HABARI NA TAARIFA MBALAMBALI. Unaweza kutumia blog yako kuweka au kutangaza habari mbalimbali za...
1 Reactions
3 Replies
4K Views
Habari wakuu nahitaji Kampuni ya kukodisha gari. Nina wageni wangu kutoka ulaya watakuja mwezi wa 11 watahitaji kukodisha gari kwa siku 5. Mambo mengine tutaongea nicheki nbox Sent using Jamii...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Tunakufikia popote ulipo kwa muda wowote na kwa haraka zaidi kwa bei ile ile, ndani ya kisiwa cha Unguja. Tunashughulika na ving'amuzi vya aina zote. 0778201526 AU 0653422776.
0 Reactions
2 Replies
817 Views
Chumba kipo mwenge, near TRA, bei ni 50,000 kwa mwezi, ni kuzuri sana, uzio upo, usalama wa kutosha, ukubwa wa chumba ni wakiasi, ni kidogo kwa vingine ndio mana ni 50k, so hakihitaji mtu mwenye...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Naomba msaada wa kujua wapi tapata hii kitu, iwe ya kutengeneza manual au ya kutoka kiwandani moja kwa moja Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Habari! Naomba kuuliza, je, kuna sites za kuuzia business plan? Sent using Jamii Forums mobile app
0 Reactions
1 Replies
518 Views
Wadau, ninauza tangawizi mbichi. Nimelimia Songea. Tafadhali naomba mtu ye yote mwenye taarifa ya soko anitaarifu hapa hapa kwenye forum. Ahsanteni.
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza Sony Camera ambayo imetumika lakini ipo katika hali nzuri.Isipokuwa inayomichubuko kidogo katia body tu na sio screen lakini haina kasoro katika ufanyaji kazi.Na rangi yake ni pink.Ilitumika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
1 acre- A Surveyed Beach Plot with beautiful beach view at Buyuni 48km from Feri kigamboni.Has clear documents. Tsh 135Mill.Cont; 0683715304
0 Reactions
0 Replies
554 Views
Picha hiyo hapo chini inaweza kukusaidia kujua aina za nywele ulizonazo. Njia nyepesi ya kujua aina ya nywele ulizonazo ni zikiwa zimeloa(wet). Zinapoanza kujikunja ndipo utajua aina za nywele...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Back
Top Bottom