Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Mbuzi wa maziwa aina ya Norwegian na machotara wanauzwa. Picha #1 Kushoto kwenda kulia: Huyu ni chotara wa Saanen na kienyeji ana mtoto mdogo wa mwezi mmoja. Baba wa mtoto wake ni mbuzi picha #2...
0 Reactions
7 Replies
7K Views
Tunaweka 3D wall panel,za ubora wa kudumu wa hali ya juu,za kisasa kwa muonekano mzuri wa ukuta wako kwa majumbani au maofisini.Tunauza 120,000 Kwa Square mita(Bila installation) na150,000 pamoja...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Natafuta vitabu vingi sana kwa ajili ya wanafunzi wa sekondary. Hivyo, naulizia ni bookshop ipi yenye bei nafuu/za kawaida sana kwa hapa Dar?... Kama wewe ni mmoja wao njoo inbox ule dili ya maana.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
IST iliyotunzwa vizuri inauzwa kwa bei nzuri,nyaraka za umiliki zote zipo. AINA YA GARI:Toyota ist LOCATION; Dar es salaam REG NO; T 689 DGW cc:1490 Mwaka:2004 BEI;8.9million (Maongezi yapo)...
0 Reactions
5 Replies
3K Views
Wadau nahitaji mpangaji wa hii nyumba, ninself kubwa ya vyumba vitatu, ninaposema self ina kila kitu ndani hadi store, ina usalama wa kutosha, ina parking hadi ya magari 20,unaweza kufanya mambo...
5 Reactions
54 Replies
10K Views
Tuna fanya Programming ya funguo za magari zinazotumia sensor(transponder) na smart key(keyless or push to start key) Kwa magari madogo na makubwa eg. TOYOTA,VW,BMW,FORD, Benz, Iveco, Scania nk...
0 Reactions
16 Replies
5K Views
Ni min bytspeed SIFA ZAKE; - HARD DISK 80GB - RAM 2GB -PROCESSOR 1.60GHZ -NI TOUCH SCREEN -NI SCREEN ROTATE -INA WEB CAMERA -INAKAA NA CHAJI MASAA 8 BEI Tsh 200,000/= tu. anayehitaji anichek kwa...
0 Reactions
87 Replies
14K Views
Salam wakuu,inahitajika kahawa aina ya Arabia; Iliyokaangwa-Grade-AA -AB -PB ambayo haijakaangwa pia. Mawasiliano 0716852165...
0 Reactions
3 Replies
609 Views
Habari wakuu! Tunashugulikia kitaalam magari tajwa hapo juu kwa bei nafuu, tupo mwenge mitaa ya TRA, magari tunayoshugulikia ni BMW, Range, Jeep, benzi aina zote na mengine, tunashugulikia...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Tudesign majengo aina zote &quotations Tunajenga pia Tunafanya decorations Unaweza fika ofisn kwetu pia makumbusho Call/whatsup +255624004650
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nahitaji display/kioo ya simu tajwa hapo juu, hii pia hata kwa wale wenye simu ya namna hiyo iliyokufa machine ila vipuri tajwa hapo juu vinafanya kazi. Mwenye navyo tuwasiliane PM.
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Baada ya kusoma inspiration books mbali mbali za mwandishi robert kiyosaki na maisha na uhalisia wa ajira na peycheck nimeona sitoboi mpaka nijiajir na niinvest ni achane na hizi ajira za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Nyumba ipo bahari beach mtaa wa pili kutoka barabara iendayo ununio,kila apartment moja ina vyumba 3 self Size plot 1600sqm Bei 450,000/ Dollars Kwa mawasiliano zaidi au kuja kuona wasiliana...
0 Reactions
21 Replies
4K Views
Friji aina ya hotpoint inauzwa dar mbezi beach goba road 370000 laki tatu na sabini tu ipo vizuri mfumo wake wa kupoza ni mkali ndani ya nusu saa ishapoza 0762612213 SMS/call Projector aina ya...
1 Reactions
18 Replies
3K Views
Wadau nauza gari langu moja toyota brevis cc 2500 rangi ni pearl no t 201 cth bei maelewano mteja serious anitafute kwenye namba 0784 160 421
1 Reactions
4 Replies
2K Views
Samaki aina ya kambare wanapatikana kwa bei ya 8500/= kwa kilo. tupo kimara suca. njoo uchague mwenyewe kutoka bwawani. karibuni sana. mawasiliano 0762397421 0672879278
0 Reactions
9 Replies
6K Views
Wana JF Nauza gari TOYOTA BREVIS hapa Dar nambaT 201 CTH. Rangi ni Pearl. Bei ni tsh ml.10.5. Kwa mhitaji serious namba yangu ni 0713 810803
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Wandugu salaam Nauza gari langu moja Toyota Brevis no T 214 CTH.Lina CC 2500 na Pearl colour Halijawahi kupata ajali yoyote. Lipo Dar na bei ni Ml.7.7 tu. Kwa mhitaji serious anitafute katika...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hellow Wakazi wa MWANZA kwa wale wapenzi wa fani hizo za urembo ambazo ni make up aina zote,kuremba kucha pamoja na kuchora Henna basi sisi tunafundisha fani hizo kwa gharama nafuu kabisa sawa na...
0 Reactions
36 Replies
4K Views
habari wadau naomba kujua bei ya kifusi maeneo ya wazo au madale.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Back
Top Bottom