Hizi zinaleta muonekano wa tofaut ukiwa ndani kwako..
Wallpaper roller moja ni tshs 35000
Gundi yake 10000
Ufundi 15000 kwa roller
Vipimo:hii ina mita 10 urefu upana cm 50 sasa hapa inategemea...
Jameni wandugu naomba kufahamishwa bei ya mafuta ya mawese dumu LA ltr 20 kutoka mkoan mbeya pale sokomotola au mwanjelwa Sido kwa anaye fahamu tafadhari
Nauza viwanja viwili kwaajili ya makazi.
- Kimoja kina Ukubwa wa 33 x 20 na cha pili 30 x 30
- Vipo wilaya ya Hai (Bomang'ombe-Kwa wasomali) km 1 kutoka Barabara kuu ya Moshi - Arusha
-...
Hi!
Ninahitaji laptop at affordable price lakini yenye specifications zilizoenda shule. Bajeti yangu 500K.
Specs ziwe: Processor: Intel core 5i or 7i
RAM: At least 8 GB...
Kichwa cha habari tayari kimejitosheleza nahitaj tiv flat screen kuanzia NCHI 32 NA kuendelea' isiwe ya wizi nataka tubadilishane matatizo'
Mwenye tatizo na pesa na mimi mwenye tatizo la tiv
Ni mashine aina ya Boss!!
Ina hitirafu kwenye Pump( valve zimeungua na zinapatikana kariakoo)
Nakupa na vifaa vyote
Bei 350,000/=
Mazungumzo yapo!!
Sababu ya kuuza!!
Kijiwe kimekufa na sina...
Shamba la mipapai ekari 2, miundo mbinu ya umwagiliaji kisima cha mita 90, tank la maji ,Dripu za umwagiliaji, pump, kibanda cha watumishi/stoo. liko barabarani kabisa ,bei Tsh 16,000,000
Kwa yeyote mwenye Mitsubishi Pajero manual ambayo iko Zanzibar naomba kuwasiliana naye nataka kuinunua,
Iwe not mini pajero nataka kubwa,
PM your number
Habari wana jf,nauza kiwanja ukubwa ni 25 kwa 25 na tofali nakupatia bure kama 3000.Bei ni 6m pungufu tunaongea.Kama upo serious karibu sana....hakuna dalali,nauza mwenyewe ninashida ya haraka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.