Habari,
Ninaomba msaada juu ya upatikanaji wa mashine za kufyatua tofali za umeme na zisizo za umeme pia bei zake.
Natanguliza shukrani!
Sent using Jamii Forums mobile app
Usikubali shule yako ife kifo cha kizembe kwa kushindwa kufaulisha wanafunzi vizuri na hivyo kushindwa kuvutia wanafunzi.
Tuwasiliane tupeane uzoefu namna nzuri ya kufanya wanafunzi wako wafanye...
TAARIFA KWA WAANDISHI WA HABARI
UJIO WA RIWAYA MPYA YA UPAKO KUTOKA KUZIMU
TOKA KWA
MWANDISHI M. M. MWANAKIJIJI
DAR-ES-SALAAM AUGUSTI 14, 2018 Inaruhusiwa kutangazwa mara moja.
Kwa ufupi...
Kiwanja kipo bugogwa,wilaya ya ilemela. Kina ukubwa wa 60 kwa 50.kinauzwa tzs milioni moja na laki mbili. MMiliki ana shida na instalment inakubalika hadi mara tatu.
Kwa maulizo zaidi tumia namba...
Nguzo za fence, paddock, n.k ambazo ni treated zinauzwa, mnunuzi unatoa specification unazotaka unaletewa, pia mirunda ya kujengea magorofa inapatikana.
Habari wana JF,
Natumai mu wazima na mnaendelea na shughuli za kujenga taifa kama ilivyo ada. Mimi ni yuleyule mfuga mende.
Na kusudi la uzi wangu ni kuwajulisha wale wote wenye kuhitaji MAYAI YA...
Tunashughulika na uandaaji wa salad na matunda matunda kwa kiwango cha juu kabisa katika masherehe kama:
Harusi
Send off
Kipaimara
Birthday part nk.
Karibu ujaribu na sisi kwa ubora na vionjo...
Habari zenu wakuu, Kiukweli Mimi binafsi sina ujuzi wa Aina yeyote kuhusu Magari Maana Katika Familia yangu Hakuna alie wahi Kubahatika kuendesha gari lake la kununua.
Katika harakati zangu za...
Kwa yeyote mwenye Mitsubishi Pajero manual ambayo iko Zanzibar naomba kuwasiliana naye nataka kuinunua,
Iwe not mini pajero nataka kubwa,
PM your number
Viwanja vimepimwa na vina ukubwa mbalimbali. Vipo Kigamboni kisarawe II karibu na kiwanda cha maji Afya au Dar fresh kigamboni . Viwanja vina ukubwa mbalimbali bei ya chini kiwanja kimoja tsh 9...
Habari!?.
Kwa wale wanaopenda Ku experience Virtual Reality Android games or videos.
Basi hiki kifaa ni muhimu uwenacho,
Simu janja ina maujanja kibao pengine mengine hujawahi kuyaona.
Nauza 3d...
Mwenye bei ya 13 million sasa aje nimpe canter tipa tani 2 engine 33 box filter 1 tipa bado iko safi ina bomba kwenye body namba c mm ni mmiliki what's app namba 0752048709 njoo kagua gari tufanye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.