Habarini wakuu Sikuhizi kumekua na blog na website nyingi sana lakini ukiwauliza wanapokea kiasi gani kwa mwezi,ni kilio cha mbwa koko kwani mtu anadhani kua akishajiunga na google adsense basi...
Ni Dawa ya miti shamba asilia imesagwa na kuwa unga unga. Ni Dawa hisiyo na madhara kwa mtumiaji kuanzia miaka 18-85. Inaimarisha misuli ya Uume iliyosinyaa inarudisha Homone za Uume zilizo kufa...
Habari zenu wana JF
Naomba kuuliza kwa mwenye kufahamu mahali ambapo kuna kiwanda cha kutengeneza mifuko ya plastiki au ya nailoni kwa hapa Dar es salaam
Ahsanteni
Toshiba satellite, hard disc; 500gb, ram; 2gb, processor; Intel(R) Celeron(R) CPU N2820 @ 2.13GHz, System type 64-bit operating system,.
Location, mbezi beach, dar es salaam,
Call/WhatsApp...
Majogoo chotara 20,000.00 makubwa; Kanga weupe 35,000.00; Bata mzinga madume makubwa 150,000.00 (tunaweza ongea bei ukitaka hasa kwa bata mzinga); vifaranga vya bata mzinga kati ya...
Blenda kama zinavyoonekana katika picha zainauzwa kwa kila moja shililingi za kitanzania elfu thelathini tu (30,000/=). Vilevile feni inayoonekana katika picha inauzwa kwa shilingi za kitanzania...
NAUZA SAMSUNG FLAT SCREEN LCD 42 INCH . BEI SAFI KABISA NI USED KWA WIKI 3 TU. NAUZA KILA KITU CAKE . REMOTE , STAND YA CHINI, NA STAND YA UKUTANI AMBAYO NI FULL BOX ACCESSORIES. JAMANI NAHITAJI...
House 4 rent
TSh300,000
Hii ni nyumba ambayo inajitegemea,IPO moja tu kwenye kampaund,INA vyumba vitatu vya kulala,vyumba viwili ni master,sebule kubwa jiko na dining,umeme na maji ni vya...
Nauza kuku wa kienyeji (pure) kwa bei ya jumla 14,000. kuku wanapatikana Dar es salaam, Tabata, kwa atakaehitaji tuwasiliane kwa namba zifuatazo 0714407095.
2.5 Acres, Beach/Sandy plot for sale at Buyuni- Kigamboni* .(45km from Feri kigamboni, and 500mtrs from the sea).Has clear Local documents! 1 acre for Tsh 12M.Cont; 0683715304
Natarajia kufungua ofisi wiki ijayo, nahitaji meza 3, viti 3 na cabinet moja kwa ajili ya mafaili.
Mnajua issue ya kupunguza gharama za kuanza biashara. Nahitaji za bei ya kawaida lakini...
Habari, Naitwa Aman, ni mwalimu nikiyebibea na kufundisha watoto was shule za msingi, na Kwa masomo ya history ,geography ,civic, Kwa level za O'level na Economic Kwa level za Advance,napatikana...
Wakuu.. Habari zenu, mimi ni mgeni humu na hii ni thread yangu ya kwanza. Nawajulisha kuwa nauza movies na series kwa bei nafuu sana. Wasiliana nami nikuuzie movie yako uliyoitafuta kwa muda mrefu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.