Laptop aina ya Hp G4 inauzwa bei chee kabisa
Processor Core i5 7th generation
RAM 8 Gb
HDD 1Tb
Iko na GPU na Ssd slot
Bei TSH 540,000/=
Mawasiliano +255624852155
Location kwa sasa ipo Dar.
Hp laptop available
Specifications
Ram 8GB
Harddisk 500GB
Core i3 6th generation
Processor 2.3Ghz
Support HDMI
Battery Life 3Hours Minimum
Refubrished Laptop from USA
Location kariakoo agrey na...
Nauza Computer CPU aina ya Dell, inauwezo mzuri pia ina internal storage GB 800.
CPU bado ipo katika hali nzuri,
niliacha kuitumia baada ya monitor (screen) yake kuvuja wino kwenye kioo baada ya...
Drone Logistic tumekuwa tukiwasaidia watanzania ushauri bure juu ya bidhaa bora toka nje ya nchi na jinsi ya kuziagizia kwa ufanisi. Safari hii,tumeamua kukuletea Computer kwa bei ya e-bay ,wewe...
Habarini wote,
Laptop iko sokoni:
Toshiba Satelite C855
RAM:8gb
HD 200gb
Processor:Intel Pentium R -2.3ghz(2cpus)
Windows 10 Pro:64Bits
Bei ya kugombaniwa -200,000
Njoo kwa inbox tufanye biashara
Najaribu kutest maji tu, Nina computer desk top All in one. ni nzuri sana kwa mtu anaetaka kufungua computer class.Ziko 17 ni dual core 2 na icore 5 ,Napendelea kuziuza zote kwa pamoja ibox me...
HP Laptop for sale
Specs
Model HP 6550b
Ram 4GB
Intel i5
Battery - can store the charge 45"- 1hr
Price: 250,000/-
First call, first served!
UPDATE:
SOLD Out! ☑️
Habari.
Nauza Laptop dell ;
Hii laptop haijui mkono wa fundi na muda wote nimeitumia peke yangu kwa kifupi imetuzwa.Naiuza sababu nimepata dharura nahitaji pesa ya haraka.
-Processor Intel( R)I...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.