Fundi nipo hapa karibu kwa kazi za madish na mfumo wa tv cable ofisini, hotel au lodge karibu tufanye kazi.
Napatikana Dar es salaam mjini(mwenge, kariakoo,na sehemu zingine)
Mawasiliano
0749247929
Jipatie chanuo la umeme kwa bei nafuu ya Tsh 45,000 tu
Bidhaa hii inatatua changamoto zifuatazo:
1. Kuzuia nywele kuwa ngumu:
• Inafanya nywele kuwa laini na , hata katika hali ya...
Habari ya weekend!
Nauza microwave ni kama mpya kabisa sababu haijatumika sana bei ni 120,000/= sababu ya kuiuza ni ninazo 2 so hii siitumii, pia ukilipia 140,000 nakupa na viti 2 vya...
🧹 Karibu kwa Huduma ya Kusafisha ya Super Cleaning Service! 🧽
🏠 Tunatoa huduma ya kufanya usafi kwa majumba, ofisi, shule, na hata kumbi za starehe! Pia, tunajihusisha na kufua nguo majumbani...
Habari, kwa waliojenga na kama kuna mafundi humu,eti fundi kukufanyia setting ya nyumba na msingi inaweza kurange ktk bei gani.ukubwa wa nyumba ni 3 bedroomed.nataka niwe na idea ili asije...
Wana Jamvi salama jamani.
Karibuni katika jukwaa let us la kilimo na mifugo.
Mimi ni mmoja wa wafugaji wadogo magharibi mwa Tanzania ninafuga ng'ombe na mbuzi wa kienyeji.
Nina hitaji la kuboresha...
Habari mdau wa filamu na series toka mataifa ya nje kama vile USA,CHINA,INDIA nk hofu ondoa.
Kama kuna yoyote unayoitafuta karibu sasa utaipa kwa bei ya kuchangia bando.Tujuze id yake ya IMDb au...
FUNGUA MILANGO YA FURSA KUPITIA KOZI YETU YA KIINGEREZA, NI RAHISI SANA. INAKUFIKIA NYUMBANI KWAKO NA POPOTE ULIPO!
Je, umewahi kukosa kazi kisa tu hujui Kiingereza?, Je, rafiki zako wanakucheka...
Kwa Anayehitaji Eneo Kwa Ajili Ya Kuweka SHOWROOM Au GARAGE Hilo Hapo Ni Jipya Kabisa Na Limeshakamilika.
Lipo📍 Mwananyamala "A" Barabara Ya Mwinjuma Jijini Dar Es Salaam.
Ukubwa Wake Ni 576SQM...
Kipindi cha mvua uzalishaji wa dhahabu hupungua ,je wajua na nini suluhisho.
Uzalishaji wa dhahabu au jina jingine huitwa kuchenjua dhahabu,hutumia njia za kikemikali ambazo hutegemea pia hali ya...
Natafuta gari ndogo ya kukodi kw ajili ya mizunguko ya hapa na pale mim sio mkaaj WA Tanzania nakuja tu likzo ya muda mchache.
Kama kuna mtu anakodisha gari yake kwa siku 30 had 40 aje inbox...
Ongezeka Trading Co limited
Tunakuletea Howo tipper lenye hp 380 (Refubrished) kwa Tzsh mil 130 pamoja na ushuru,
Kwa wale wanaohitaji kulipia kwa njia ya installments maelewano yapo.
Pia...
Jipatie Howo tipper mende, tractor na spare parts zote za Howo.
Kwa bajeti ya Tsh Milioni 78 unajipatia Howo tipper mende used nzuri kabisa.
Mawasiliano: 0748270719
Karibu sana