Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

kama unavoziona ziko 10 kila moja ni 230k material ni mbao ngumu location : Ilala 0697224996
1 Reactions
2 Replies
188 Views
Nauza Oveni lita 40 Kampuni mr uk Bei lak 1.2 tu maongez yapo tabata shuleee 0697224996
0 Reactions
4 Replies
211 Views
Wapendwa poleni sana na majukumu ya kikazi. Mimi ni Mjasiriamali ambaye nimejikita haswa kwenye Biashara ya Mazao. Kwa sasa natafuta Soko la Alozera, kama unahitaji takuuzia kwa Tsh. 5000 bei ya...
2 Reactions
13 Replies
677 Views
Hi guys🙋, i hope mko poa wote. Mwenye kuhitaji kabati kubwa la nguo chukua hili, ni zuri sana. Location: Kigamboni Kisiwani, price: 300k Contact : 0697224996
3 Reactions
9 Replies
439 Views
Ps 3 hiyo, wafurahishe watoto wako kipindi hiki cha likizo 300 k Games za kutosha Nipe 300k tu Temeke. MORTAL KOMBAT GTA 5 NEED FOR SPEED ARMY WAR SPIDERMAN
1 Reactions
2 Replies
228 Views
Una watu wa3, au wa4 wanalala kitanda kimoja😕, no Wachukulie hii kama uyaonavyo kwenye picha price: 420k vyote 0697224996
0 Reactions
2 Replies
217 Views
Iphone 13 pro . Used Uk. In very good condition Gb 128 Bh 84. TT✅ 1.5ml only. Comes with a box. Ukinunua mbili Utapata moja kwa 1.450ml only. 0752850081 0783869998 Nipo DSM Ubungo.
1 Reactions
16 Replies
501 Views
Pure scientific calculator kwa bei ya jumla na rejareja, first edition(fx-991MS)Tsh. 20,000. Second edition (fx-991MS)Tsh. 25,000 Second edition (fx-991ES PLUS) Tsh. 30,000, hizo ni bei za rejareja.
0 Reactions
2 Replies
511 Views
haya kama unataka simu ya iphone, njoo uchukue hii 150k tu nakuachia iPhone 6s Storage 32gb Battery 🔋 💯 Bei 150k Piga 0697224996
0 Reactions
2 Replies
218 Views
Natumai ujumbe huu unakukuta salama. Nia na madhumuni ya kuweka bandiko hili ni kutafuta watu wenye ujuzi wa Blender3D 3D Artists kama modelling, animation, CGI VFX etc. Lengo ni ku organize ili...
0 Reactions
2 Replies
164 Views
kama unavokiona, kitanda tu, 200k ubungo 0697224996
2 Reactions
3 Replies
276 Views
Kama unavokiona kwenye picha kipyaaa, njoo ubungo riverside 150k tu nakuachia 0697224996
0 Reactions
3 Replies
224 Views
Nauza website kwa ajili ya safari company. Kuna ambayo ipo tayari unachukua na kuweka majina yako na contacts tu. Pia tunatengeneza kulingana na mahitaji yako. Kama tayari unayo website, tuna...
1 Reactions
0 Replies
188 Views
Njoo makumbusho uchukue sofaset kali na meza yake kama unavoziona kwenye picha, kwa 600k tu instead of 1.25M. Contact: 0697224996
4 Reactions
4 Replies
477 Views
Wakuu i hope mko poa wote. Me nafanya business ya kuuza used (but still good) products. Nina platforms zangu na social pages zenye wafuatiliaji wengi wanaohitaji vitu vizuri yes, but dukani ni...
7 Reactions
21 Replies
719 Views
Kama kuna kitu hutakiwi kukosa kwenye Nyumba yako, basi ni huyu Janjaroo mdhibiti wa Umeme unaovuja, umeme unaokuwa na Mkwamo, kwa lugha ya kitaalamu ni Power Factor Solver. Kwa maelezo zaidi...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Habari rafiki. Naitwa Eva Mrema. Ni muelimishaji, kungwi na muandishi. Nakuletea ofa kabambe. Vitabu hivi viwili vya maarifa kwa mwanamke vinauzwa elfu 20 hardcopy. Lakini kutoka kwenye uzi huu...
0 Reactions
1 Replies
198 Views
Smart Security Glasses With Camera ✅TSH 150,000 💥 Camera yake ina uwezo wa 5MP 💥 Ina chukua video yenye ubora 💥 Ina record video na sauti kwa pamoja 💥 Camera Yake Ni ngumu kuonekana 💥 Ina Record...
1 Reactions
3 Replies
325 Views
Je, unatafuta mtaalam wa kuandaa Business/ Company profile mwenye uzoefu na ujuzi wa kuunda maelezo ya kuvutia na yenye ufanisi? mimi ndiye mtaalamu unayemhitaji. Ninaweza kukusaidia kuunda...
0 Reactions
9 Replies
595 Views
Basi linauzwa Nissan Cb 31 Namba B Engine Nissan CB31 Haina turbo Gearbox_Gia sita Siti 46 Bei 19,000,000/= Halina tatizo Gari ipo Tanga mjini Call,sms,whatsap 0759399805
0 Reactions
2 Replies
262 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…