Nyumba inauzwa mbezi kibanda cha mkaa
Nyumba ina vyumba vitatu,kimoja self
Ina sitting& dinning room
Ina kitchen na Public toilet
Nyumba imeisha bado kufanya finishing
tu kama utakavyohitaji wewe...
Nakodisha Frame 3 za biashara Katoro-Geita.Zipo Barabara ya CCM (Mkabala na Kituo Cha Afya Katoro),zinatazamq Rami.Ukubwa:Mbili zina Ujazo wa Meta za Mraba 26.5 na Moja ina Ujazo wa meta za Mraba...
Ninahitaji satellite dish ila liwe na brand name tofauti na DSTV, AZAM, ZUKU AU STAR TIMES.
Yani nahitaji liwe la matumizi ya zile FTA Channels.
Kama mtu analo jipya au lililotumika ila lipo...
Tunapenda kukutaarifu ya kuwa zile mashine za kupukuchulia mahindi tayari zimeshafika ofisini kwetu.
(Maize sheller machine)
✓Inauwezo wa kupukuchua (GUNIA 25 KWA SAA)
✓Inapukuchua magunzi saize...
⚠️⚠️Je unatafuta vifaa vifuatavyo kwa ajili ya Laptop,Desktop,Tablet au Simu Yako?⚠️⚠️📌📌
☑️Laptop Adapter ( Laptop & Macbook)
☑️Ram ya Laptop na Desktop ( DDR2,DDR3,DDR4 & DDR5)
☑️Laptop &...
Kama unahitaji huduma zifuatazo nichek 0747787410 kufungua akaunt za biashara mtandaoni, kufanya matangazo mitandaoni, kurekebsha akaunt zenye matatizo na madeni, kusajil jina la biashara, lesen...
Nauza gari yangu aina ya Subaru Forester(Non turbo) ya mwaka 2011.
Bei 15m.
Gari ipo Dar es Salaam, haina tatizo lolote.
Kwa maelezo zaidi tuwasiliane: 0752357722
Basi linauzwa
Scania F310
Namba DP
Siti 52
Giabox ya gia sita
Changamoto
Matairi
kufunga cylinder head(ilifunguliwa ili kubadilisha gasket)
kuweka busta
Bei Tzsh 39,000,000/=
Ipo Dar...
Habari Wakuu,
Nina Matank ya Maji 15 nauza, ni haya meupe yanayokujaga na bidhaa za viwandani kisha baada ya kushusha mzigo yanabadilishwa kutumika kama ma-tenk ya kuhifadhia au kusafirishia maji...
Habari nahitaji mtu aliepo Uganda
Awe na uzoefu wa masuala ya teknolojia na social media. Pia awe kijana mchangamfu yani kijana wa mjini ukipewa kazini unafanya kwa uhakika.
Habari Wana JF,
Nyumba inauzwa ipo Chanika Masantula Dar es Saalam. Ina eneo la nusu heka. Ina vyumba vinne vyote master. Ina sebule, jiko, Stoo na dining kubwa tu. Ina nyumba ya uani ya vyumba...
Karibu ujipatie kitabu cha Fursa za mtandaoni
👉Huku utafahamu Fursa zote zilizopo mtandaoni na Jinsi ya kuzitumia kujiingizia kipato
👉 Bei ni Tsh 5000 tu tunapatikana Dar es salaam number...
Kwenye nyumba zetu tunazoishi au maeneo mbalimbali ya biashara, changamoto ya umeme wa kushea ni kero kubwa kutokana na kutegemea mfumo wa kushea mita moja ya umeme (LUKU).
Katika mfumo huu ni...
Leo nimewaletea uzi kuhusu biashara ya nguo hasa za kiume,hii ni biashara nzuri sana endapo utaifanya kwa umakini na ina faida kubwa. Mimi nimefanya hii biashara nafkri ni zaid ya miaka 10 sasa...