Habari
Tarehe 4 April Nina safari ya kwenda Ifakara na mgeni wangu. Tunaenda ifakara,kutembelea baadhi ya project tunalala na kesho yake kurudi.
Nahitaji usafiri 4 wheel,dereva mzoefu na bei ya...
Karibu
Tunahusika na utengenezaji wa
*Mabango
*vipeperushi
*kadi za namba za simu
*Makava ya nyimbo
*Kadi za mialiko za kisasa
Njoo whatsapp Nehemix tz
Anatafutwa Binti wa kuuza duka (tarehe ya Mwisho 12/4/2024)
🔹 Awe amemaliza kidato cha 4 au zaidi.
🔸ANAEJUA HESABU.
🔹Umri miaka 25 au zaidi.
🔸AWE ANAISHI MADALE, WAZO, KULANGWA, TEGETA au...
Samsung galaxy s22 ultra
Gb 512
Ram;Gb12
Unapewa na charger yake original
Simu haina tatizo lolote
Simu ni Original na ni nzima haina tatizo lolote.
Bei ni Tshs 1.5 millions
0689 150 968
0625...
Habari zenu Wana JF ...nashida na mawasiliano ya wafanyabiasha ra wa nafaka Aina mbali mbali ikiwemo mchele,karanga,mbegu za maboga,ulezi, na n.k wawe na bei rafiki ili nami niweze kufanya...
Kiwanja kizuri kinauzwa maeneo ya kifuru kisopwa ukitoka stand ya mbezi mbezi unashukia kifuru unachukua bodaboda au bajaji hadi site. Kina ukubwa wa 23m x 20m maji yapo yakutakata, umeme upo...
Dell imetumika kwa mwezi mmoja tu
Core i3 10th Gen
Hard disk 1TB
RAM 12GB
Battery: 3+ Running hrs
Display size: 15.6' FHD
Bei Tsh.480k
Mawasiliano
0621973591
Dsm.
Unahitaji kuwa na kiwanja hatua inayofata nikutuona sisi wataalamu wa uchoraji ramani zakisasa za nyumba ya ndoto yako kisha utapata vibali vya serikali na kuanza ujenzi wasiliana nasi sasa kwa...
Habari wakuu.
Kinahitajika Chumba na Sebule cha kupanga jijini Dar es Salaam maeneo yoyote lakini upande wa Mbezi mpaka ubungo na njia ya Goba.
Budget ni laki moja kwa mwezi.
Karibu PM kwa...
Offer offer offer
Kwa 260,000/= tu mzigo mpyaaa kabisa
KARIBU #TUKUSHAURI NA #KUKUELIMISHA KABLA YA KUNUNUA
KWA ODA NA MAELEKEZO ZAIDI
TUPO #KARIAKOO DAR
thegreatsolar@gmail.com...
KWA HUDUMA BORA YA MASUALA YA GAMES,KARIBU SANA SKYGAMES 0710701361
TUNACHIP NA KUWEKA GAMES KWENYE PS4 PS3 NA PS2.PIA KUNA PC NA XBOX GAMES NYINGI SANA ZA KUTOSHA.
FIFA14 PATCH 24 OFFICIAL KWA...
Habari za jioni wanajamvi,
Kumekuwa na woga au maswali kwa wadau wengi yanayowapa ukakasi kuwekeza katika sekta ya kilimo hasa kutokana na wimbi la upatu au kilimo ambacho hakieleweki uelekeo...
IFAHAMU BIASHARA YA AMAZON FBA.
Fulfilment By Amazon (FBA).
1.AMAZON ni nini?
AMAZON ni kampuni inayohihusisha na uuzaji wa bidhaa kwa njia ya mtandao yaani mteja atachagua bidhaa anayoiitaji...
Kiwanja kinauzwa Kigamboni karibu na Hamidu City. Kiwanja kina hati, kimezungushiwa fensi na kina ukubwa wa Square Metres 4000 (Eka moja). Umeme na maji vipo. Bei Milioni 250, maongezi yapo.
Ni...
Nina kieneo changu maeneo ya songea, msamala/ mkuzo kuna kibanda naitaji kukiuza kwahiyo nilikuwa naitaji anaowafahamu madalali wa mji huo wa songea aniunganishe nao zoez likifanikiwa chochote...
Jipatie mayai mazuri ya chotara, makubwa kwa shilingi 15,000 tu kwa trei. Yana kiini cha njano na ni mazuri sana. Napatikana Dodoma, karibu sana unayehitaji.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.