Habari,
Kalibu katika kampuni ya HD DECORATION ENTERPRISE tunahusika na Utengenezaji wa sakafu aina ya epoxy,tunauza material material ya epoxy, tunafanya kazi ya waterproofing na tunauza...
Wapi Unaweza Ukakutana Na TOYOTA IST kama Hii Toleo La Mwaka 2005 Yenye Engine Capacity Ya 1290Cc Huku Kwa Upande Wa Mileage Zikiwa 89,000+…Ni Bahati Kabisa Hii
Isitoshe Inauzwa Bei Ya Maombolezo...
Eid Mubarak wanajamvi
Tunatoa huduma ya kuangalia
-watoto pale muhusika atapokua amepata dharura, safari au Sababu nyingine yeyote
-wagonjwa na wazee Kwa Sababu yeyote Ile
Note; huduma zetu Ni...
Vitu vya salon ya kiume vinauzwa viko Goba kwa moga
1.Kiti cha kunyolea 220,000
2.sink la kuoshea 200,000
3.vioo viwili kila kimoja 40,000
4.mashine za charge moja 45,000 na mashine ya waya 20,000...
Wanabodi,
Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, nikitayarisha vipindi vyangu vya TV na Redio na kuvitangaza kupitia vituo mbalimbali vya Televisheni, Redio na kusambaza habari kwenye...
Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika...
Wakuu kama kichwa cha uzi kinavyo jieleza, nauza shamba langu ambalo lipo mkoa wa Pwani wilaya ya Chalinze.
Shamba lina ukubwa wa heka 20. Ndani ya shamba kuna banda kubwa la kufungia mifugo...
Kiwanja kinauzwa Ubungo Riverside
Kutoka Riverside-Mandela Road ni 1.5 km
Ukubwa ni 1,400 square metre
Bei ni 90m
Piga 0625617565
Kinafaa kwa makazi na kuwekeza apartments sababu kiko mjini na ni...
Wasaalam Wana Jamvi,
Kama heading inavosomeka nmeamua kujikita katika kilimo musimu ujao na maeneo yanayonivutia ni hayo niliyoyataja hapo juu
Babati, Mbulu, Njombe na Iringa ni Sehemu ambazo...
nHabari zenu wakuu kwa aliepo iringa au kama unatarajia kufika iringa. Nakukaribisha autorex garage iringa napatikana Mshindo jilani na benki ya NBC. Huduma zinazo patikana
●Oil change
●kuziba...
Habari.....!
Nauza Taa za Video Production, 8 tube led light.
Dukani utaipata kuanzia 300,000.
Mimi nakupatia hii kwa 170,000.
0686279540
Dar es salaam.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.