Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Habari wa ndugu tunatoa huduma ya fumigation and Pest Control hapa Arusha Kwenye maeneo ya Mahotel, majumbani, maghala, lodge nk hasa wadudu jamii ya mbu, Mende, nzi, sisimizi, kunguni, mchwa nk...
0 Reactions
2 Replies
982 Views
Kama Una frame ndogo mjini sehemu iliyochangamka nicheki pm
2 Reactions
6 Replies
342 Views
Bajaji inauzwa bei sawa na bure ni kampuni ya Sinoray. Capacity cc200 Seats 8 Usajiri ni DSG full document Ni kununua na kuingia barabarani haina changamoto yoyote Bei ni Milioni 3,200,000...
0 Reactions
0 Replies
590 Views
Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya kimara, isiwe mbali na barabara, mwenye nayo please naomba msaada
1 Reactions
2 Replies
470 Views
Ada za kuomba kibali cha ujenzi katika Manispaa ya Moshi. (i) Maombi mapya ya kibali cha ujenzi cha;- ✓ Makazi ni Tshs.400 kwa mita mraba moja. ✓ Makazi na biashara ni Tshs.500 kwa m². ✓...
0 Reactions
0 Replies
351 Views
Kwema Wakuu, Mambo yasiwe mengi, changamoto za kutafuta nyumba na kukutana na madalali tunazijua, hivyo kama wewe ni mpangaji unatafuta nyumba au mwenye nyumba unatafuta mpangaji, njoo hapa sema...
9 Reactions
68 Replies
5K Views
Fursa ya ajira Hata kama huna mtaji leta mteja kwa bei yako, cha juu ni cha kwako iPhone Original Chargers 25W Adapter USB C lighting cable Zipo pis 100 tu 16,000/= Rejareja 14,000/= Jumla...
0 Reactions
0 Replies
231 Views
Nahitaji eneo la gereji(fenced) au nyumba stand alone. Location ni maeneo ya kuanzia ubungo kuja mjini (ubungo yenyewe, sinza mwenge, mikocheni, magomeni, mabibo, external, n.k.) 0688 758 625
0 Reactions
2 Replies
293 Views
Bajaj used inahitajika. Budget ni million 4.5 hadi 5 Niko Sumbawanga Rukwa
1 Reactions
3 Replies
337 Views
Habari wakuu? Hope wazima kabisa! Nina uhitaji wa kontena la futi 20, lenye hali nzuri, bajeti yangu ni tsh 500.000/= Laki tano! Ahssnteni!
3 Reactions
19 Replies
838 Views
Motherboard repair Chip Level Motherboard Repairing.
0 Reactions
3 Replies
699 Views
Tushaingia mwezi wa wapendanao. Kama ulikua unajiuliza zawadi ya kuwapatia wapendwa wako, suluhisho liko hapa. Jipatie mchoro halisi kwa ajili ya mpendwa wako mwezi huu wa valentine. Napatikana...
4 Reactions
33 Replies
835 Views
Eneo lenye ukubwa wa Sqm 3626 Na lina Nyumba 7 [ Moja ni main house yenye vyumba vitatu kimoja master, sebure kubwa, dining kubwa, public toilet na jiko] Na nyumba zengine 6 kila moja imegawanyika...
5 Reactions
15 Replies
953 Views
Habari wakuu me ni fundi bomba uliza swali lolote linalo husu plumbing nitakujibu kuanzia mifumo ya maji moto baridi,maji taka, Ujenzi wa chemba,Bei ya material ya plumbing n.k
0 Reactions
3 Replies
639 Views
Wadau wa Arusha mambo niaj vip nawez kupata Getto la 20k arusha. Kama lipo ni maeneo gani na vipi kuhusu swal la ulinzi
0 Reactions
5 Replies
505 Views
Habari zenu members Naomba kujua soko la madini aina ya Quartz lilipo kwa nchi yetu hii ya Tanzania na pia bei yake kwa kilo.
1 Reactions
17 Replies
5K Views
Nahitaji kukodi gari za harusi v8 au range na alphad. Anayetoa huduma hiyo naomba gharama whatsapp kwa namba hi 0759666581 Nipo Dar es salaam
1 Reactions
2 Replies
380 Views
HAINA TATIZO LOLOTE)[emoji736] HD QUALITY [emoji736] SIO SMART (LED)[emoji736] REMOTE & ADAPTER YAKE IPO[emoji736] [emoji419] SIZE :INCH 43 [emoji625] LOCATION: GONGO LA MBOTO ,DSM [emoji434]...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Jaman natafuta wateja wa mchele, chenga na pumba laini za mchele. Kwa yeyote mwenye kuhitaji anitafute kwa namba 0626169383, hii namba pia inapatikana whatsapp. Napatikana singida manyoni mjini
1 Reactions
5 Replies
853 Views
TECNO tunatarajia kuachia toleo jipya ya simu janja TECNO CAMON 18 hivi karibuni ambayo italeta ushindani mkubwa na simu kutoka kampuni ya Samsung. CAMON 18 Premier ina sifa kuizidi simu ya...
3 Reactions
24 Replies
5K Views
Back
Top Bottom