kimfaacho mtu chake sindio wanajamiiforums enh nina uza pikipiki yangu aina ya Boxer bm 125. pikipiki hii imetengenezwa mwaka 2022 ikasajiliwa hapa Tanzania mwaka 2023 hivyo ina mwaka sasa tokea...
Kiwanja kinauzwa Arusha Mkono kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani.
Kina ukubwa wa Square meter 1080
BEI million 12
kwa mawasiliano zaidi...
Wakuu,
Wale watu Classic karibuni.
Coffee table ya Milioni 3, ipate kwa milioni 1 tu. Piga simu haraka. Sasa hivi.. Hii ni offer.
Mbezi beach Africana
Mawasiliano: Piga simu au tuma Meseji...
Habari wana JF.
Nauza Gaming PC yangu Mashine pamoja na Monitor ya LG, keyboard na mouse. Unaweza itumia kwa shughuli mbali mbali za production kama Video Editing, Photo Editing, VFX, 3D...
Nyumba ya ghorofa inauzwa ipo Bahari beach bajeti.nyumba imefc Lami na panaafa kwa biashara na makazi pia.
Ina vyumba 4 vyote ni self
Size plot 1200 SQM
Bei 680m
Mawasiliano zaidi 0756060183...
1. Hali ya Gari: Gari halina shida yoyote, ila halijatembea kwa muda. Ni Nissan Patrol
2. Gari lilipo: Gari lipo Goba Mkoani Dar es Salaam
3. Bei ya Gari: Ni Tsh milioni 45
5. Mawasiliano: Piga...
Kwenye upande wa ufundi unaweza ukawa na vitu vifuatavyo mafundi wakaja kukodisha wakafanyie kazi kwa maana mafundi wengi tu nawajua wana ujuzi ila hawana vifaa.
TOOLBOX SET
GRANDER
MACHINE ZA...
Milili Kiwanja chako sasa kwaajili ya Makazi, kupitia mradi wetu wa viwanja uliopo VIKINDU VIANZI OBEY.
KUMBUKA:
Ukubwa wa viwanja ni 40 × 50
Kuna huduma za kijamii
Vuwanja vina hati halali...
Photocopy canon ir 1435 image imagerunner inauzwa
NI Black and White
Inatumia Flash
Double slide
Inatoa copy,inascan
maximum size A4,Inatumia wino wa powerd
Ina bypass tray,ina network port na...
Pikipiki imenyooka kama rula, mkoa wowote ulipo inakufikia kwa kuendeshwa sio kusafirishwa.
Cc 125 powerfull boxer haijawahi fanya boda boda hata siku 1, ina mwaka katika matumizi na Km 10,000...
Barbershop inauzwa
Habarini ndugu wanaJamvi!
Ningependa niende moja kwa moja kwenye mada, barbershop iliyopo Goba inauzwa ikiwa na vitu vyake vyote ambavyo vinatumika barbershop ikiwemo viti...
Utangulizi.
Thomsett ameandika vitabu vingi kuhusu biashara na uwekezaji. Lakini kitabu kiitwacho Getting Started In Rental Income cha mwaka 2005 ndicho kitabu ninachokuletea uchambuzi wake leo...
Safe box zinauzwa mpya kilo 120 kwa matumizi ya ofisi, mawakala, majumbani, n.k
Wasiliana nasi 0712347749
Unaweza kufungulia kwa password za namba utakazo weza kuweka unazo zihitaji.
Key zipo 4...
Wewe ni Mkazi wa Dar es Salaam na unahitaji spea kwaajili ya gari yako?
Huitaji kuhangaika mambo yawe mengi tucheki moja kwa moja dukani.
MZIGO NI USED DUBAI
Tunauza Spea za gari ndogo aina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.