Habari zenu wakuu.
Ninauza ECU YA BMW N46 engine Bosch part number DME 7620350-02.
Hii ECU inatumika kwa BMW models zote zenye N46 engine kama E90, X1, 1 series, etc.
Bei ni 1.3 million...
Linda gari yako kwa kuiweka kwenye kivuli safi gharama ni rahisi pia car parking shades hubadili muonekano wa nyumba yako tupigie tuje kukupatia huduma call/WhatsApp 0687897026/0767583628
TUNAKUFUNGA NA KUANDAA WIRING YA MIFUMO YA ULINZI.
Shuleni,Nyumbani,Godown,Hotelini nk.
Na wewe boss wetu hujachelewa karibu tukuhudumie kwa mahitaji ya Installation,systems upgration,maintenance...
Niaje wakuu!
Naomba kuelekezwa, au kuunganishwa na mtu anayeweza kunisaidia kupata chumba cha elfu20 (20,000/=) au chini ya hiyo.
NB: Hata kama hakina umeme wala rangi fresh tu!
Natumaini mmeamshwa salama.
Karibuni mnitume samaki toka mwanza sangara, sato (wabichi au waliokaangwa) na dagaa waliokaangwa wakiwa wabichi. Kwa wanaohitaji wabichi mara nyingi wanatumwa kwa...
Dondoo Mbalimbali Muhimu kwa Kuhusu Betri ya Laptop..!!
1. Je unajua Kuwa Unaponunua Betri Mpya Yafaa Uichaji kwa Dk. 20 kabla ya kuanza kujaribisha? Maana Betri nyingi zinakuwa Hazina...
Habari,
Nina Muhogo Mbegu Ya Mkombozi Tani 70, Zipo Tayari Kwa Matumizi Ya Kusaga Unga Wa Muhogo. Location Biharamulo Kagera. Tuwasiliane Kama Unauhitaji Au Una mteja. Kiasi Cha Chini Kuchukua Ni...
Kiwanja Chenye nyumba kinauzwa kipo bahari beach jijini dar es salaam wilaya ya kinondoni kiwanja kina ukubwa wa sqm 800 Eneo limepimwa Ila Bado hati nyumba ni ya kuvunja Kisha unaweza jenga...
Kibali cha ujenzi ni nakala itolewayo na serikali kwa ajili ya kuruhusu ujenzi au ukarabati/maboresho ya majengo. Nakala hii ni njia mojawapo ya serikali kuchochea aina fulani ya makazi ya ubora...
Jaman naitaji Toyota crown athlet ya mwaka 2011
Iwe namba E
Ikiwa Rangi nyeupe au black no problem
Price yangu ni milion Tisa
Niko dar es salaam
Kama kuna mtu anayo please ndm
Zhongtong Caesar Inauzwa
Namba B
Siti 60 2by2
Engine scania 93
Gearbox scania
Diff scania
Bei Tzsh 37,000,000/=
Gari inafanya kazi
Bima na latra vipo hai
Call,sms,whatsap 0759399805
Kipo kiwanja mbweni jkt block 5 kina sqm 1020. bei 80milion kina hat
Kipo kiwanja mbweni malindi block c sqm 1100. Bei 80milion kina hat
Kipo kiwanja mbweni mpiji sqm 912 bei milion 55 kina...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.