PORTABLE GRASS CUTTER MACHINE/BRUSH CUTTER MACHINE.
■Hii ni mashine ya kisasa ya kukatia ama kufyekea majani au nyasi.
■ Inauwezo wa kukata nyasi fupi na ndefu pia hata matawi ya miti
■Mashine...
Bagamoyo Real Estate Workshop Namba 1
Utangulizi wa programu.
Programu hii ya FURSA ZA ARDHI/MAJENGO (Real Estate Workshop) zimelenga kwenye mambo makuu matatu (3). Mambo yenyewe ni:
✓ Moja...
Habari sisi ni kampuni tuliobobea kwenye utengenezaji wa Computer, na kutoa huduma za ki ICT kwa bei rafiki. Karibu tukuhudumie huduma zetu zipo kwenye hiki kipeperushi chetu. Karibu tukuhudumie.
Haya wale professional wa kupiga picha mzigo huu......jumla ni 1,500,000/= pamoja na usafiri juu yangu kukutumia popote
But ukilipia 1,490,000/= utalipia delivery cost
Camera Nikon D7100...
Wadau nahitaji feni nzuri kubwa 56" at least ya darini yenye upepo mwingi but isiwe na kelele nyingi.
Budget tsh 100, 000 isizidi hapo kwa moja.
Nami nahitaji mbili zinazodumu
Habari za mchana ndugu zangu,
Natafuta kiwanja kisichokua na mgogoro na kilichopimwa maeneo ya Madale Mivumoni au karibu na apo, kiwanja kiwe na ukubwa wa 800sqm na budget isizidi 30M.
Ahsante.
Hello,
Nauza magauni mazuri sana ya kwenda kazini,ofisini na kwenye mitoko mbalimbali.kwa Bei ya Tsh 10,000-20,000.
Lakini Pia ninauza Official skirt na pant kwa Bei ya sh 6,000-15,000.
Lakini...
Msaada wakuu, nakereka na hodi na mtu sina mpango kumfungulia. Sasa geti linapogongwa napata wakati mgumu kuacha au kufungua.
Wakati mwingine hodi hizo ni fursa wakati mwingine ni kero na...
Habari wana jf Simu tajwa hapo juu
Yenye storage Gb 512
Ram Gb 12
Bei Tshs 1,500,000/=
Simu ipo kwenye hali nzuri ndio hii ninayotumia hapa
Ukinunua unapewa na Charge yake Original
Mawasiliano...
Habari wakuu
Kuna mtu anatafuta chumba self contained + sebule na jiko ila iwe fully furnished yaani iwe na vitu vyote muhimu ndani. Nimesema niilete hapa labda anaweza kupata usaidizi. Iwe maeneo...
Haya ni maneno kutoka kwa moja ya wateja wetu: Wa kampuni ya AA Tanch Trading Company.
Kwanza nianze kwa kusema mimi mwenyewe pia, nlikua moja ya watu wanaotafuta kampuni nzuri na ya kuaminika. Ya...
STAND ZA LAPTOP.
Katika kipindi hiki cha maendeleo ya kiteknolojia, matumizi ya kompyuta ndogo (laptop) yamekuwa muhimu sana katika shughuli za kazi, burudani, na mawasiliano.
Hivyo kuna umuhimu...
Watu 2 wenye uhitaji, zipo decoder mbili mpya. Wahi ujipatie kwa shs elfu 50 tu. Kufanyiwa installation na kifurushi, ni maongezi.
Zipo Dar Es Salaam/Tabata-Mwananchi.
Zitakuwepo tu ndani ya siku...
Hellow Wapendwa wa Jamiiforums,
Nina Hereni na cheni nzuri sana za kuvutia na hazifubai, kuwasha, n wala kuchubuka.
Hereni utapa kutoka kwetu kwa kiasi cha Tsh 12,000 na cheni kwa sh 10,000...
kiwanja Chenye Nyumba kinauzwa Kipo bahari beach jijini dar es salaam
Kina ukubwa wa sqm 2220 kina Hati miliki safi kabisa kutoka wizara ya Ardhi
Kiwanja kina KIBANDA cha kuanzia maisha pia...