Salaam wakuu,
Mimi ni kijana mpambanaji na mhitimu wa chuo nipo mjini Dar es salaam, katika kupambana na maisha na ukosefu wa ajira nimejitahidi kufanya biashara mbalimbali ambazo zimeweza...
Jaman Nina Safari ya kwenda Singida kesho
Tuko watu 3 na mizigo yetu
Tunaitaji gari la kutupeleka Tu
Mtu ambae Yuko interesting please nipm
Niko dar es salaam jaman sorry, swaumu Kali leo
Wakuu.
OFFER: Samsung galaxy S10e mpya imetumika mwezi mmoja tu inauzwa laki 3 na Nusu
Specification:
Kwanza kabisa ina wireless charging system
Yaani unaweza kuchaji kwa kuilaza juu ya simu...
JENGO LINAPANGISHWA KWA MATUMIZI YA HOSPITAL AU OFISI
___________________________________
MAHALI-CHIDACHI ST MARY (IRINGA ROAD)
-JENGO LINATAZAMA BARABARA YA LAMI...
LAPTOP HP 250 12th GEN-FOR SALE
Details with Specifications and pictures are attached-
In addition:500 GB
Reason of selling it:-
Double Gifts and is almost new
Price: Tsh:700,000 Net
Include:-...
habari nauza tv yangu mpya kabisa full box aina ya ALITOP inch 32 smart kwa bei ya kutupa kabisa bei ni tsh 200,000 namba ya kunipata 0753505115 au 0715505115
Habari! Mimi ni Julius Bwire, Mtaalamu wa Maendeleo ya Programu katika Sovereign Payment Solutions. Kwa wote wanaotafuta ajira na kukabiliwa na changamoto za kupata mwaliko wa usaili, mara nyingi...
Hosplan Clinic ikishirikiana kwa pamoja na hospitali ya “Tiba Health Care Polyclinic “ wanawaletea madaktari bingwa kutoka INDIA kwa tiba za Uti wa mgongo, mifupa, ubongo na viungo . Madaktari...
Doctor_clothing_store tunatoa suluhisho la upatikanaji wa suti za kiume za ofisini, harusi, msibani na kwenye matukio maalumu. suti zetu ni za ubora wa hali ya juu (zimetoka uturuki)
Bei ya suti...
Habari wakuuu!
Naomba kufahamishwa sehemu yeyote ambayo naweza kupata khanga za mombasa kwa bei ya Jumla nchini Tanzania. Kama una mtu unamjua anafanya hiyo biashara naomba kuunganishwa nae...
Basi lenye Terias injini ya scania 113 hoarse power 320 body limetengenezewa kenya linauzwa lipo katika hali nzuri na hivi sasa linatembea na injini yake haijawai kuguswa.bei yake ni rahisi ambayo...
PROPERTY
APARTMENTS FOR SALE
LOCATION
AT MASAKI
AREA SIZE
BEACH PLOT
WITH SQUARE METER 2000.
APARTMENT DETAILS
THE PROPERTY CONSIST OF TWO TOWER OF FLATS with;
~>6 APARTMENTS OF TWO BEDROOMS...
Kama kichwa kinavyo jieleza.
Westpoint Oven lita 63 inahitajika Dar es Salaam.
Kama unayo dukani kwako taja bei yako na location ya duka lako bila kusahau mawasiliano yako.
The DVD & Audio CD "Kupunguza Unene Na Kitambi" is now available and will soon be launched. This is a joint Project between ConsNet Group and The Eastern Africa Professionals & Business Network -...
Je ungependa kupata mawazo chaya juu ya mambo mbalimbali yanayohusu mafanikio katika maisha, biashara, afya kama kupata nafuu au kupona katika matatizo yako mbalimbali ya afya yako ya mwili na...
[emoji874] Iko katika hali nzuri ni ya 2021. Muuzaji ni mimi mwenyewe.
[emoji874] Ina vitu na nyaraka zifuatazo:
1. Bima hadi Feb 23
2. Latra hadi Jun 23
3. Haina deni la TRA kwa mwaka 2022
4...
Nauza Gpu yangu ambayo nilinunua mwenyewe mpya ya gigabyte gt 1030, inacheza games nyingi za zamani 1080p low setting na games mpya kwa 720P.
-Vram 2GB Gddr5
-ulaji umeme maximum watts 30...
KARIBU SANA MPENDWA MTEJA WANGU
Leo nimewaletea uzi huu kwaajili ya mashuka pekee, bei na size ni kama ifuatavyo;-
[emoji837]Size 6"6 sh.22,000 (Shuka 2 na Pillowcases 2)
[emoji837]Size 6"7...