Wanajamvi heshima kwenu.nyumba inauzwa mjini njombe mtaa wa hagafilo.bei 75milioni.ina vyumba zaidi ya 15.imeisha,ina kila kitu,kwa maana ya umeme na maji.inawapangaji full vyumba...
Habari!Karibu Tongilo Trust solution wauzaji wa viwanja vilivyopimwa na unqkopeshwa bila dhaman yeyote. Unaruhusiwa kulipa Kwa awamu.
[emoji1753]PATA BEACH PLOTS Kwa Million 6 Tuh (Installments 12...
Habari za leo!
Ninauza fenicha za ofisini zilizotumika zipo katika hali nzuri sana:
1. Meza kubwa moja (imported)
2. Kiti kimoja cha ngozi cha kuzunguka
3. Viti viwili vya wageni (nimenunua mwezi...
Habari wana JF
Katika karne hii ya sasa bila elimu ya Technolojia flani itakuwa ngumu sana kufanikiwa kwani dunia yasasa ni ya kidigitali zaidi kwaio hutakiwi kupitwa na elimu ya technolojia kama...
Habari wakuu
Nauza vifaa vya saloon ya kike kwa ajili ya kucha na kutengeneza nywele ,vifaa ni bado vipya kabisa . Location Kinondoni Dar es salaam.
Contact/namba;0623524725
Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji.
Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie...
Wana JF naomba msaada wenu kwa Dar es Salaam naweza kupata wapi vitabu vya siku nyingi vya mwandishi mashuhuri Mohammed Said Abdulla. Nimetembea katika baadhi ya maduka ya vitabu bado sijafanikiwa...
Nina TAWI makumbusho nahitaji kijana mwenye kuweza kushirikiana nami kuiendea ndoto yangu mpaka nije kumpa share kwenye kampuni ninayoiota...
Akiwa na elimu ya darasa lasaba lakini ana ugenius...
Naomba kunichagulia sofa nzuri nataka kununua,na kama una lako zuri zaidi,naomba utume picha kama nitalipenda nitapeleka order kwa fundi.
Kingine naomba kuuliza kama miguu ya sofa hizi inadumu...
Tunakodisha Playstation 4
Games zilizopo
Fifa 24
GTA V
Call of duty modern warfare
Need for speed heat
Mortal kombat
Hogwarts Legacy
bei ni kama ifuatavyo
Saa tatu asubuhi hadi saa tatu usiku...
Nimenunua pixel 5 kwa ajili wife kasema kadogo anataka simu ya kujaa mkononi, naiuza bei hiyo ina wiki tu. RAM 8GB, 128GB STORAGE.
HAINA SHIDA YOYOTE CHAJI INAKAA ASUBUHI MPAKA JION DATA IKIWA...
Mambo yasiwe mengi,
Nahitaji supplier mwenye mfuko ya kilo 25 na kilo 50 kwa bei ya jumla alete quotation yake na contact au physical address tufanye biashara.
Karibuni.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.