Usikubali Kupitwa Na Mvua Za Msimu Bila Kupanda Miti Shambani Kwako.
Msimu wa Mvua ni mzuri kwa upandaji wa miti ya matunda pamoja na Ile ya mbao kwani hupunguza gharama za umwagiliaji na mahitaji...
🔥🔥🚘🚘🚘
ON SALE (EEP) - SUBARU IMPREZA
Price 14.5ML
0768160670
SUBARU IMPREZA ¥
KALI SANA
Color 🖤 BLACK
LOW MILEAGES
Engine 1490
Low mileage
New tyre
Clean sana
DAR ES SALAAM
0768160670...
Kiwanja kinauzwa Arusha Mkonoo kipo karibu na barabara. Maji, umeme, shule, hospitali vyote vinapatika maeneo ya jirani.
Kina ukubwa wa Square meter 1080
Bei million 13
kwa mawasiliano zaidi...
BRAND: GOOGLE PIXEL 6A
Technology GSM / HSPA / LTE / 5G
LAUNCH
Announced 2022, May 11
Status Available. Released 2022, July 21
BODY
Dimensions 152.2 x 71.8 x 8.9 mm (5.99 x 2.83 x 0.35 in)...
Natafuta kiwanja Mbweni.
Bajeti yangu Mil.70.
Ukubwa at least 900sqm
SITAKI MADALALI.
Kwa mmiliki au anaemfahamu mmiliki anitumie picha na location kwenye WHATSAPP 0788 893364.
Just Whatsapp...
Hivi water pump generators,,,brand name gani ni imara kwa shughuli za umwagiliaji?..ushauri unahitajika,,ikiwezekana ata bei nifahamishwe..Asanteni kwa wasaa wenu
Habari wakuu.
Tafadhari rejea kichwa cha mada.
Ninauza pikipiki yangu niliyokua natumia kwenda kazini yenye usajiri namba DEC bei Tsh 1,250,000 iko katika hali nzuri sana haijaguswa engine kabisa...
Harrier new model,Haina dosari Wala kipengele chochote
Reg no DL,full Ac ,ni mpya nzuri ndani na nje safi.
Ipo Dar
Bei ni 18.5m tu
Piga/ Whatsapp 0698235368
Habari wadau wangu natafuta chumba cha kupanga kiwe maeneo ya morroco, victoria au makumbusho au kigamboni kiwe kimoja, chenye hali nzuri sio bora chumba nataka kupanga kwa miezi 6 tu na si zaidi...
SmartFundi Co Ltd
The company deals with the total solution for house finishing and renovation, basically every work that is associated with constructions and/or decoration of the house. we also...
TUNAUZA TAA ZA JOTO ZA KULELEA VIFARANGA.
(HEAT INFRARED LIGHT BULB)
>>SIFA YA TAA ZETU<<<<
●Hutoa mwanga mwekundu ambao husaidia kupunguza stress kwa vifaranga na kufanya ale vizuri.
●Taa moja...
Wadau nina mzigo wa makaratasi yaliyotumika ikiwa ni pamoja na magazeti na majarida na vitabu kukuu.
Kwa mwenye kununua au anaefahamu wapi naweza kuyauza msaada tafadhali.
Ninauza furniture za ofisini, Meza 3 yaani Executive desk 1, Conference table 1 (ya watu 4), na reception table 1, Viti 7, vyote hivi bado viko katika hali nzuri.
Pia kuna Curtain blinds mbili...
Habari ndugu zangu.
Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa.
Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo...
M-Gas ni kampuni inayoungwa mkono kimataifa. Tuna bohari zetu, mitungi ya gesi na magari ili kukuhakikishia kuwa unapata gesi (LPG)bora ya kupikia na huduma bora zaidi wakati wote.
M-Gas inatumia...
Wanajamvi natumai mko salama.kama nilivyodokeza hapo juu.
Nahitaji mtu wa saloon,awe wa kike au wa kiume,kikubwa awe anajua kazi zote za saloon kama
Kuosha wateja
Kuweka Dawa
Kusuka Misuko Tofauti...
Kama ilivyo kawaida Embassy yeyeto ila haiwezi kukupa Visa pasipokuwa na Sababu
zilizojitosheleza , Leo ntaongelea Kwenye Kupata Mualiko
1. Mualiko wa haina ya kwanza ni pale unapokuwa na Ndugu ...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.