Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

JF Prefixes:

Tv ipo dar es salaam location za mansese, tv ni mpya kabisa lakini imekufa kioo tu. Kwa iyo nauza hivyo hivyo ilivyo. Naposema nauza tv iliyokufa kioo sio wote watanielewa! Taarifa hii inawahusu...
1 Reactions
14 Replies
831 Views
Habari wanajami, narudi tena. Bei ya dagaa imepungua maana giza limeanza na uvuvi kuendelea kama ilivyo kawaida. Bei zilizopo muda huu. Japo huwa mabadiliko yapo kutokana na uvuvi ukiwa mzuri au...
5 Reactions
35 Replies
4K Views
Habari ndugu? Nina mchele Kigoma Malagarasi(Musoma) nahitaji namba za dereva muaminifu anibebee kuja Morogoro. Zipo gunia 8 za kilo 100. Karibu Pm. NITALIPIA
1 Reactions
6 Replies
326 Views
Nipo mtoni kijichi mtaa wa mgeni nani Nina shida na gari la maji taka
3 Reactions
5 Replies
841 Views
Wale wanamuziki hasa wanaojua solo guitar vifaa hivi naviuza vyote kwa pamoja one milioni tu. 1. Gitaa la Solo 2. Solo/Rythim gitaa Combo 3. Solo Gitaa Effect Pedal 4. Cable za Jack pins 3...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Biashara..ofa ofa ofa...miliki studio yako ya kurekodi muziki kwa tsh laki 2 tu....vifaa hivi 》》mic,sound card,filter,stand piga simu...
2 Reactions
13 Replies
1K Views
Kuna kabiashara kangu hapa DSM, nimeleta mfanyakazi toka mkoani, nahitaji kumpangishia chumba kimoja self, 1. Chumba 1 self maeneo ya Kawe, mwenge, msasani, au popote nitachagua nikipapenda...
2 Reactions
10 Replies
519 Views
Wakuu, naomba kwa mwenye connection ya wamiliki au wafanyakazi katika maduka ya Jumla ya Mtaa wa Liberty au popote jijini Mwanza anisaidie. Lengo kuu nataka kufanya nao mawasiliano wanipe...
2 Reactions
2 Replies
791 Views
Natafuta connection ya wateja wa bata bukini, bata mzinga, kuku na kanga wa aina yoyote kwa jumla mwenye kujua soko au mahotelin anipe direction tufanye biashara pacent yake itakuwepo Wana jamii...
2 Reactions
4 Replies
556 Views
S 300 smartwatch 💶90000 tsh ⌚️Mikanda 7 ⌚️Earpods ⌚️Protector ⌚️Unaweza kupiga n kupokea simu ⌚️Unaconnect kwa bluetooth ⌚️Inakuja complete n manual n charger 🏃🏽‍♀️Inafaa kwa mazoezi 📱unapokea...
0 Reactions
10 Replies
468 Views
Habari ya wakati huu ndugu zangu, je wewe ni mhitaji wa gari ya kutumia, au una gari na unauza ila hujui uipeleke wapi ili iweze kuuzwa kwa wakati? Basi usihofu Kampuni ya Joex Motors (T) Limited...
1 Reactions
7 Replies
380 Views
Ukiachana na kukupa huduma za Engine Services, Diagnostics na Repairs za matatizo mbalimbali ya magari hasa yanayowasha warning lights. Tunayo pia huduma ya kukuagizia spare parts kwa bei ambayo...
9 Reactions
85 Replies
5K Views
Viatu vya aina zote karibu uchague unachokipenda then ntakufikishia popote ulipo ndani ya Dar es salaam kwa garama zangu mwenyewe. Kwa walio Dar es salaam nakuletea free na mikoani unatumiwa kwa...
10 Reactions
10K Replies
336K Views
HELP ni jiko gani la gesi lililo zuri zaidi ? imara na linalotumia gesi kidogo? Thanks.
0 Reactions
61 Replies
3K Views
Kwa anayehitaji Midoli ya Kuuzia Mawigi tuwasiliane. Ipo zaidi ya 20. Nauza sababu nimebadilisha biashara. Nipo Goba Dar-es-salaam. 0713794962 bei ni 9000tsh kila mmoja
1 Reactions
0 Replies
383 Views
Habari zenu wandugu naulizia wapi naweza kupata Midori ya kuvalishia mawigi na kofia mbali mbali za kike, hapa dar es salaam.
1 Reactions
1 Replies
1K Views
Naomba mwenye uzoefu na aina pamoja na bei za machine za kusaga na kukoboa mahindi anisaidie.natanguliza shukrani
0 Reactions
34 Replies
55K Views
Je, unahitaji kampuni bora sana ya kusimamia tukio lako? Inaweza kuwa harusi, mahafari, mikutano, washa na tukio lolote linalohitaji usimamizi wa kina? Basi usiwe na mashaka, kampuni ya Joex...
0 Reactions
0 Replies
230 Views
2360cc Automatic Petrol 116,000 Kms Haijawahi kupigwa rangi Haijawahi kupata ajali Documents [emoji736] . Masaki . 0717 650800
1 Reactions
10 Replies
743 Views
Nahitaji tent classic, na fundi mzuri wa kupamba tent, kutengeneza keki ya harusi, na awe anapatikaba Mbeya mjini au wilaya za karibu na Tukuyu. Tukio ni mwezi wa tano, kwa yeyote mwenye...
0 Reactions
2 Replies
354 Views
Back
Top Bottom