Mambo vipi?
Mimi nauza simu bwana. Lakini kwa wateja ambao wanatafuta simu zenye storage kubwa.
Yaani umechoka kufuta picha au document ofisini mara kwa mara. Na unatafuta simu yenye uwezo...
Natumain wote ni wazima mnaendeleea na kupambana kutengeneza uchumi wenu na wa Taifa letu.
Nahitaji marine board na mirunda vilivyotumika Dodoma au singida kama unauza au unajua anayeuza na...
Habari wapendwa,
Nauza simu yangu aina ya Huawei Y7 Prime
Internal GB 64, Ram GB 4, battery capacity 4,000 MAh.
Bado mpya kabisa
Bei yake ni 290k (laki 2 na 90) pamoja na Charger yake
Kama...
Simu Used Full Box iko sokoni,Full Documents.
Brand; SAMSUNG A21s
Internal; 64GB
RAM; 4GB
Condition; Iko kwenye hali nzuri,nimeitumia miezi 5 tu.
Location; Dsm.
Price/Bei; 350,000/-
Mawasiliano...
Iphone 6s
storage gb 128
battery health 100%
Support 4G LTE
ina kreki kidogo kwenye upande wa camera ya mbele, haina madhara
bei, 320,000
mbezi kimara, Dar.
0713096076
DEADLINE: 5.3.2022
USIPIGE...
Habari za muda huu wana jukwaa?
Niko na simu janja aina ya Redmi note 9 iliyo tumika miezi mitano ambayo ipo katika excellent conditions!
Bei yake ni fixed kwa laki tatu na nusu tu (350,000/=)...
Habari Wanajamvi,
Nauza simu yangu mwenyewe ni Samsung Galaxy Note 10+. Ina mwezi mmoja tangu niinunue, ina risiti niliyonunulia na boksi lake
Bei ni laki 8.5, inapungua kidogo sana
Kwa aliye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.