Tunafanya huduma ya water proof maeneo yafatayo.
TOP ROOF( CONCRET) (paa la juu la zega)
HIDDEN ROOF (nyumba za kisasa)
WATER TANK (matanki ya maji)
tunatumia vifaa madhubuti kuhakikisha...
Je, unatafuta njia mpya ya kujiongezea kipato chako na kuanzisha biashara yako mwenyewe? Tunayo fursa nzuri kwa ajili yako! Jiunge na Programu yetu ya Reseller leo na uanze kujipatia pesa kwa...
Habari za muda huu wana JF,
Bila kupoteza muda,siku ya Ijumaa natarajia kuanza safari ya kutoka Dar Es Salaam kuelekea Katavi kwa shughuli binafsi na natarajia kupita DODOMA kwa mara ya kwanza...
Brand: Mitsubishi Pajero
Manufactured year : 2004
Imported from : Japan
Engine capacity : 2,970 CC
Fuel type : petrol
Transmission : Automatic
Clean condition
Adroid radio
mileage 249,283 Km...
Kutana na timu yetu ya Wataalamu ujenzi tuliobobea katika fani hii, Makao makuu yetu yapo MOROCCO na SINZA jijini Dar es Salaam, Kwa majengo imara na ya kisasa kama apartmenent, nyumba za kawaida...
SIDIRIA
Bei ya china 15yuan kwa kilo 1
Oda kima cha chini 100kg (belo 2)
15x100=1500yuan
1500x379=568500Tsh (379 ni bei yangu ya kuuza yuan kwa siku ya leo 23/09/2023)
100kg nikama sidiria...
Baadhi ya Orodha ya Vyombo vya Muziki na Vifaa vya studio tunavyouza vinavyopatikana Dukani kwetu.
Duka letu lipo Dodoma mjini, (Kizota) kituo cha daladala cha City jengo wanalouza bajaji za TVS...
Habari Wakuu,
Kama kichwa kinavyosema, nahitaji nyumba ya kupanga inayojitegemea kwenye fensi yaani stand alone maeneo ya Mbezi Beach.
~ Nyumba ya vyumba viwili, sebule na jiko inayojitegemea...
Habari nauza gari mil4.5
Aina ya gari ni toyota vista model 2002
Engine capacity 1990
Engine type 3s
Ulaji wa mafita ni mzuri mjini ni 10km /l
Ukiwa safari ni 12 km /l
Mawasiliano 0712206032...
Watoto,zakike na zakiume kila size kila mtindo
Kazi yangu ni kukuuzia Yuan ama kukulipia kwa supplier wako
Natoa hesabu kwa baadhi ya soksi kwa rate yangu ya leo ya yuan 379
men's socks...
Habari zenu wanajamiiforum kama heading yangu inavyosema hapo naomba mwenye kujua mawasiliano ya bwana huyo Samadu Hassan ambae awali alikuwa mtangazaji wa RFA anisaidie
Kwa wafanyabiashara wakubwa wa gas wa jumla na reja reja kuna mitungi ya Gas inauzwa.
Mitungi hii ni Empty haina Gas, kampuni za Gas zilizopo ni zote kasoro ORYX tu.
CAM GAS
MIHAN/TAIFA GAS
OGAS...
Asalaam alaykum nyote i hope mu wazima kwa ambaye afya imeyumba like me M/Mungu atuhafu amiin..
Wakuu naombeni mwenye kujua soko/viwanda/mahali wanapo nunua Oil Chafu (Crude Oil) na bei yake kwa...
Habari Wana jamii.
Habari ndugu jamaa na marafiki
Kwa wale wanaopenda sana mambo ya blog au website basi leo nawaletea website ya habari(newsportal) iliyokamili kabisa inauzwa Kwa matumizi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.