Habarini,
Naomba ushauri kuhusiana na biashara ya kukodisha turubai, je ni size ipi ambayo inapendwa sana katika kukodishwa (4m kwa 10m au 6m kwa 10m au 8m kwa 10m)?
Material ipi ya turubai uwa...
Viwanja vya makazi ukubwa tofauti tofauti kuanzia sm² 600, 1000 na zaidi vinapatikana
Huduma za maji, umeme na barabara ya changarawe
Bei tofauti tofauti
Tuwasiliane no 0658164307
Chagua rangi yoyote geji 30 hii no ofa kama unataka idadi yoyote unapata kwa 33500 piga 0743257669 uliza kwanza kwa wengine ukijua bei ndio uje kwangu uone hii ofa babkubwa tupo Buguruni hatuna...
Hello wadau karibuni hapa ni mabegi na pochi kali kwa bei nafuu. Pochi 15000 mabegi ya shule 20000, safari begi 30000 karibuni Sana.
Namba zangu za simu 0692436124, napatikana Moshi mjini mkoani...
Nahitaji pooltable nzima used na mbovu kwa ajili ya biashara ninapatikana moshi kilimanjaro lakini naweza kulifuata popote ulipo
Ukinichek WhatsApp itakua poa zaidi
0682770944
Kibaha Muheza 48 ml ( Maongezi Yapo )
3 kilometers kutoka Mailoja.
Eneo 18*25
Vyumba vitatu vya kulala
1 master bedroom
Sebule na dinning room
Public toilet
Jiko na stoo yake
Fremu ya duka...
Jipatie Vape yako ili Weekend yako iende poa
Tunazo aina Mbalimbali za vapes
-Youto
-Hcow
-Foco
Zenye flavor Mbalimbali pia
Delivery ipo kwa waliopo Dar...
Mikoani Tunatuma pia
WhatsApp & Calls...
Sababu za PC yako kutowaka ni;
Note: hakikisha umeiweka kwenye chaji
yawezekana chaji ilikuwa imeisha.
Isipowaka ... tatizo linaweza kuwa;
✓ Charger imeharibika ( adaptor au power cable mbovu)...
Habari wakuu.
Kama mjuavyo shida haibishi hodi. Nimepata dharura na nahitaji mkopo wa shilingi laki 4 (400,000 tshs).
Nitarudisha baada ya siku 30 kwa riba ya 20%. Dhamana ni laptop yangu...
Habarini ndugu
Nina shida na mkopo wa kiasi cha shilingi milion 6 kwa mtu binafsi au microfinance ambayo hawaitaji lesen ya biashara au niwe mwajiriwa ili kupata mkopo
Nahitaji mkopo huo kwa...
Hizo laptop 2 zimeibiwa jana usiku maeneo ya Kinyerezi. Sasa hiyo Packard Bell ni computer rare kidogo, hivyo kama kuna mtu utasikia anaiuza leo au zote mbili kwa pamoja, basi nitonye, kuna...
Habari wandugu ,
Nauza. SEA PIANO (as seen) from pictures..
Mwaka wa manunuzi ni 2023 , inauzwa , full box..... BEI 150,000/= Bei NOW. 120,000/=
Inapatikana moshi. Mjini mtaa wa shana...
Karibu mafuta mwali ya Nazi, kwa utunzaji wa ngozi na kuipa unyevu muda mwingi, mafuta haya ni mazuri kwa ngozi na nywele, wanaitumia watoto na wakubwa, wanawake na wanaume.
Yana mchanganyiko wa...
✓ Hufanya computer kuwa slow.
✓ Hufanya kompyuta kuchemka sana.
✓ Hufuta data na mafaili katika computer.
✓ Huleta madhara ya kudumu kwenye hard disk ( permanent hard disk damage).
✓ Huingilia na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.