Vitambaa vya kutengenezea makanyagio na ubunifu wa mapambo yapo Kwenye kiloba cha kilo 25, njoo na ofa yako.
Location: Kigamboni (Kichangani)
Number: 0759448927.
Bidhaa hii adimu naweza kupata wapi mteja anaenunua kwa jumla.
Cuttlefish Squid bone for pets like birds tortoise snails chicken etc.
Product code: #gDnE4u_5G1
Hivi soko/duka la biashara hii ya seashells (makome) hupatikana Wapi kwa hapa Dar es salaam/Zanzibar.?
Lakini pia
✓Je inahitaji kibali cha kukusanya/kusafirisha?
✓Wapi ninaweza kuuza kwa...
Salaam Wakuu
Nauza Kiwanja shilingi milioni 7.5 fixed Arusha mjini. Mahali Kilipo ni Engosheratoni Kata ya Sinoni Arusha. Ukubwa wa Kiwanja ni 550sqm.
Haki miliki ya kiwanja kinatambulika na...
Lovely decorated apartment located at Kinondoni vijana, comes with one bedroom ( ensuite ), livingroom, Kitchen along with indoor shared toilet.
It includes security guards, parkingspace...
Habari zenu wa JF? Nina baadhi ya thamani za ndani kama mnavyo ziona
KABATI la vyombo size 5X6 kama mnavyo liona, hilo ni full mbao sio zile za kuunga
MEZA kubwa ya kioo, tena kile kioo kikubwa...
Nauza sabuni nzuri za kusafishia tiles na msink,sabuni za maofisini kudekia na sabuni za vyombo
litre 1 3000
Litre 5 10000
Pia tuna viungo vizuri cha chai,pilau na mchuzi mix karibuni sana
Pia...
Nauza Oppo A57, Storage yake ni 64gb kwa Tshs 180,000 tu.
Mzigo upo Clean Sana, Nichek 0654506090 au WhatsApp+255763546090.
Tunafanya Delivery na Mikoani tunatuma kwa Uaminifu mkubwa[emoji120]
Kumaliza tatizo la halitosisi na kinywa kwa ujumla inawezekana. Ni wewe tu!!! FOREVER BRIGHT TOOTH GEL
Bidhaa ya kusafisha meno iliyotengenezwa kutokana na stabilized Aloe Vera Gel pamoja nabee...
Habari wakuu
Nauza camera kali details hizo hapo chini
NIKON D5300
BEI 800,000/=
IMETUMIKA KWA MIEZI 3 TU
INAKUJA FULL BOX BILA LENS
LAKINI UKITAKA NA LENS YA 18-55mm UNAONGEZA 200,000 KWENYE...
ZINGATIA:
Hakuna mafanikio yanayokuja kiurahisi, utahitaji juhudi, muda, uvumilivu na kujifunza Zaidi mpaka kupata matokea hivyo usitegemee kupata matokeo ya haraka unapoanza kufanya ishu yoyote...
OFA OFA OFA!!!!!!
Jipatie Pocket WiFi kutoka Airtel inayo unganisha vifaa zaidi ya 10 na kasi Hadi Mbps 30, pia utapokea offer ya GB 20 mwaka mzima
Vifurushi:
⚡Elfu 10 Gb 10.5
⚡Elfu 20 Gb 22...
Gari ya kuwahi nahitaji pesa ya haraka ukija kukagua ruksa kubeba mafundi wako wote kukagua
NISSAN WINGROAD 2006
CC.1490
FULL AC
AUTOMATIC
BEI NI 12.5 TU
GARI HAIJAWAHI KUGUSWA NA FUNDI BADO...
Nauza gari yangu kali sana used like new,alteza cc 1990 haina kipengele hata kimoja unawasha unaenda mkoa wowote.bie naanzia 5.5mil maongezi kidogo yapo.gari ipo sinza vatican .
0752649984
Kiwanja ni changu mwenyewe na kina ukubwa wa 520 SQM.
Kipo Engosheraton kata ya Sinoni. Jirani kabisa na Shule ya Sekondari ya Misheni ya Edmund Rice.
Kiwanja kimezungukwa na Huduma zote za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.