Habari za muda wadau!
Kuna kazi Kubwa ya kutengeneza kokoto kwaajili ya ujenzi wa barabara. Kama una-crasher au unamfahamu mtu alienayo. Nitafute What'sApp kwenye namba (....).
Zimeshapatikana...
Nokia 150
Display:- 2.4”QVGA
Wireless FM Radio
Camera with Flash
[emoji367]Up to 19.4 hrs/23.4days/ Talk/standby time
MicroSD card Support up to 32gb
Price - 95,000/=
Free Delivery [emoji598]...
HAYA ENEO LINAUZWA "UBUNGO RIVERSIDE" ,VIWANJA VIWILI KWENYE ENEO MOJA,KIWANJA KIMOJA KINA HATI NA KINGINE HATI IPO KWENYE PROCESS ILA KINA JENGO LA GHOROFA
1.HILO ENEO LILILOZUNGUSHIWA FENSI...
Dining table za viti 6 zipo mbili Bei 380,000/=
Sofa 2:2:1 kama zilivyo pichan Bei 350,000/= zote
Godoro 5/6 nchi 8 Bei 160,000/=
Oven ya kupashia 20L Bei 95,000/=
Mtungi wa Gase mtupu. 25,000/=...
Hello naitw pendo namiliki KIKUNDI kidogo kinachojihusisha na masuala ya kufua nguo.
Duduma zetu tunatoa kwa njia ya mawasiliano.
Tuanakufuata ulipo ndani ya dar es salaam
Bei zetu ni kuanzia...
Kibaha kwa Mfipa
Plot number 57 hiyo
Kiwanja kimepimwa na kina Hati
Sqm 600
Umbali km 2 toka moro road
Bei million 6
Nina 20×40 million 7(km 2)
Nina 35×20 kina hati million 8(km 1)
Nina vya 20×20...
Habari zenu Nauza mbegu za michongoma. Zipo kibaha. Kwa anayehitaji kwa ajili ya kupanda kama fence kwenye kiwanja ama shamba lake anaweza nicheki kwenye namba 0758308193 na bei ni sh 10000 kwa...
Habari za leo wanajamii.
Kati ya post zangu za hapo nyuma niliongelea application niliyotengeneza ya kuondoa sauti za waigizaji kwenye movie za netflix ili niweze kuweka sauti za kiswahili.
Kwa...
Iwe na Engine 4A, 5A na Automatic Gearbox (manual tutaongea)
Iwe imetunzwa vizuri hasa body liwe limenyooka
Namba yeyote lakini bora zaidi kuanzia B, C, D
Iwe popote tanzania iweze kufika Dar...
Ofisi ilikua inatumika kwa kazi 1 tu kudownload PESA wazee wa FOREX tunaelewa hayo mavitu yalivyo eeh.
OFISI ina COMPUTER mpya (not refurbished) ni BRAND NEW desktop PC (HP BRAND 6TH GEN ALL IN...
JTC ni kampuni ya kitanzania inayojishughulisha na ujenzi wa Tarazo.
Tarazo ni finishingi inayofanyika ktk sakafu au kuta za nyumba/jengo km zilivyo tiles/vigae, tarazo ni mchanganyiko wa vipande...
Habari wakuu.
Nauza laptop yangu Apple, Macbook Pro.
Laptop hii nilinunua toka USA kwenye store za Apple kabisa.
Display: 13 inch
Processor: Core i5
Memory (RAM): 16GB
Graphics: Intel 1.5GB...
Natafuta chumba kizuri sana mitaa ya Mwenge kiwe master, choo, bafu, jiko na mahitaji yote muhimu.
Kiwe eneo lenye usalama wa kutosha na kiwe jirañi na lami.
Chumba hiki ni kwa ajili ya wageni...
salamu wanajukwaa!
nina shamba ambalo nimeamua nipimishe viwanja.nimepata mchoro toka wizara ya ardhi sasa nahitaji ushauri na bei elekezi za upimaji viwanja.
eneo lina heka 20 liko mkoa wa...
Habari,lengo ni kununua gari.
Nauza bajaji yangu aina ya TVS king. Haina tatizo lolote.
Ipo Dar Chamazi.
Kwa mawasiliano njoo PM
Bei milioni sita.(6,000,000)
Natumaini mpo salama Napenda kuchukua fursa hii kuelezea dhamira yangu ya kuwa mshauri wa biashara kwa wajasiriamali, wafanyabiashara, na kampuni mbalimbali.
Ukitaka kufanya biashara yoyote ile...
Jipatie ZENADO HONEY, ni Asali bora inayo fanyiwa parkeging na Kampuni ya MKONDO INTERNATIONAL FOOD AND HONEY SUPPLIES LTD. ZENADO HONEY ni Asali bora iliyokidhi viwango vya kimataifa. Kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.