Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.
Habari wana JF, Nina mitiki hekari mbili kasoro, ina miaka sita sasa.. Ninataka kuiuza nahitaji serious buyer maana hali imekaza sana.
0 Reactions
2 Replies
4K Views
Natafuta wanunuzi wa pumba za mahindi, nikipata soko la Mbeya, Arusha itakuwa bora cause wengi wanapeleka huko mimi niko Katavi
0 Reactions
3 Replies
977 Views
Hisense Smart TV 4k inch 75 bado mpya nyembamba imenyooka hizo picha tu ila ukiiona live ndo utakubali, imetumika miezii 3 inafaa kuoneshea mpira maana ni kubwa mwenyewe anashida na pesa haraka...
2 Reactions
77 Replies
6K Views
Nyumba inauzwa Kibaha kwa Mfipa(upande wa chuo) Vyumba vitatu(master zipo 2) Seble na jiko+choo cha public ndani Eneo ni 23×33 Umeme upo, maji yapo Km 2 toka moro road Ndo inafanyiwa finishing Ipo...
0 Reactions
3 Replies
574 Views
Toyota starlet inauzwa iko katika hali nzuri bei ni 5.5m ipo na documents zote
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Nauza kiti cha ofisini bado kiko vizuri nauza shilingi 70000 napatikana mwananyamala kwa kopa namba yangu 0716647360
2 Reactions
8 Replies
840 Views
Hii nyumba inauzwa kwabei nafuu sana..ipo wilaya yamkuranga kijiji cha mwanadilatu iko kalibu sana na barabara.kwakutokea kitonga dar es saam kufika ilipo nyumba nidakika10 kwa bodaboda..nyumba...
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Nahitaj vitunguu maji vilivyokauka vizuri kwa ajili ya kusafirisha. Kwa sasa nitachukua gunia/net 110 ila ikifika nitarudia ingine. So nahitaj wale wenye kulima kitunguu ya kutosha na sio wa...
1 Reactions
13 Replies
4K Views
Habari. Kama ambavyo kichwa cha habari kisemavyo hapo juu natafuta kiwanja 25 mita kwa 20 mita nina sh 1m. Eneo Kibaha yote isipokuwa Mlandizi na Bagamoyo. Ni pm
2 Reactions
25 Replies
2K Views
Nahitaji kufahamu mahali na bei nzuri ya gaming laptop. Specs ziwe; PC ya MSI Specs i7, ram 32 ddr4, ssd 512, Gen 11 Invidia gforce RTX 3060 au zaidi Graphics card 6gb au zaidi Hata brands za...
0 Reactions
12 Replies
650 Views
Nauza vioo vya saloon viko viwili bado vipya kabisa ni vikubwa kila kioo kimoja nauza shilingi 100000 napatikana mwananyamala kwa kopa namba yangu ya simu ni 0716647360
1 Reactions
0 Replies
912 Views
Nina kiwanda kidogo kinajishughulisha na ukamuaji wa mafuta ya Alizeti. Natafuta wateja wa mashudu ya alizeti. Nina tani tatu za alizeti kwasasa. Kiwanda kipo Morogoro na tunasafirisha kwenda...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
Hama2Bebe ni kampuni inayotoa huduma za kisasa za kuhama na suluhisho za kupanga nyumba kupitia nguvu ya teknolojia. Jukwaa letu la ubunifu linawaruhusu watu binafsi na biashara kuomba huduma za...
0 Reactions
1 Replies
565 Views
Wakuu kwa wale wenye uzoefu katika shughuli za ujenzi hebu tusaidiane hapa. Nahitaji kujua wapi naweza kununua nondo imara kwa ajili ya ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja na bei yake ikoje kwa tani...
0 Reactions
103 Replies
34K Views
Habari za kazi wadau, Naomba kama utakuwa unauza au unarafiki anauza gari nzuri iwe engine ndogo na neat condition. Gari inayohitajika iwe kati ya Premio new model, Allion, Vits New model...
0 Reactions
2 Replies
749 Views
Habari, nauza hi Yamaha boat engine kwa bei poa kabsa ikiwa kweli hali nzuri karibia mpya. Yamaha 115 Fuel injection Fourstroke Petrol 115hp Bei 11m negotiable mapatano kdg Pia nakubal exchange...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
mwenye nazo anicheki whatsap faster 0766302495. sharti iwe au ziwe zako au rafiki yako ofa yangu n 300k kwa kila TV kampuni yoyote iwe HD. hela ipo mfuko wa shati
0 Reactions
1 Replies
647 Views
Nicheki dm kwa simu yoyote mbovu kama inahitaji software au hardware 1. Umesahau password 2. Simu yako imevunjika kioo 3. Unahitaji update kwa ajili ya simu yako 4. Matatizo ya network 5...
1 Reactions
0 Replies
908 Views
Back
Top Bottom