Habari zenu,
Nahitaji kiwanja kwa Tsh 1.5 - 2m mkoa ya Tanga kwenye mitaa kama Duga, Mwahako, Tangasisi, Mwang'ombe, Mikanjuni, Mwanzange, Kasera, Msambweni, Magaoni, Mwambani, Mwakidila, Donge...
NATAFUTA WAIMBAJI WA LIVE BAND KATIKA BAA YANGU MKOANI DSM
Ninahitaji Mtu/watu wenye uwezo wa live band (copy) au cover,kavasha,dancersau hata wachekeshaji
au karaoke.
Malipo ni kwa makubaliano...
Afya Bora ya uzazi hutegemea zaidi mambo makuu matatu
1. Mzunguko wa damu(ufanyaji kazi mzuri wa moyo)
2. Saikolojia ya mtu
3. Mfumo mzuri ya neva katika ubebaji wa taarifa
Afya Bora ya uzazi...
HABARI Ya muda huu JF, Kama Headline Ilivyojieleza Hapo Juu. Ninatafuta Balo la Nguo za watoto mixture Kuazia Umri Wa Mwaka zero Hadi 4 Ikizidi Iwe Kuazia Umri Wa Mwaka 0 Hadi 5.
Mwenye Kujua...
Mimi natafuta kazi ya planning and pipe fitting ni Fundi Nina uzoefu mzuri zaidi ya mwaka nimesomea Veta lev2 nafunga system zote za maji na ni dereva pia Namba 0712233653 au majaliwae6@gmail.com
Ziko DTF mbili Kuna newkins Ambayo ni used na pia Kuna DTF za kampuni ya YingHe ambazo ni mpya na accessories zingine Kama 8 in 1 Heat compressor, Kuna paper cutter machine, kuna inks na cleaning...
Dobimaridadi Mtaalamu(specialist) wa kufua na kunyoosha nguo yupo kwa ajili yako kuhakikisha umaridadi wa muonekano wako kwa kuvaa nguo nadhifu.
Tupe nguo zako leo tukufulie/kunyoosha kwa umakini...
Salute bosses
Tangu tumeanza hii movement JamiiForums mmekua pamoja nasi muda wote. I must be very thankful for their continuous support and generosity, thanks team for the great work. Siwezi...
NYUMBA HAIJAISHA INAUZWA
Eneo ukubwa : 448 SQM
Jiko
Two bedroom ( one master)
Dinning
Open kitchen
Public toilet
Location: Madale mbopo
Bei : 20,000,000 Negotiable
1.5km from madale road (...
Wakuu habari zenu , naomba msaada wenu juu ya suala zima la soko la maziwa nchini Tanzania na hata nje ya mipaka ya Tanzania kwa mwenye details zozote zinazoweza kuwa msaada kwangu tafadhali...
Kama walivyoahidi, Remitano wamezindua sarafu yao ya Renec.
Sarafu ambayo ilikuwa ikipatikana bure kwa kufanya mining kupitia simu ya mkononi sasa ipo sokoni kupitia exchange yao.
Renec iliingia...
Kifaa hiki kimasaidia;
-Kupunguza maumivu ya viuongo
-Hufanya massage mwilini hivyo kuimarisha mzunguko wa damu
-Kwa wanariadha na wafanya mazoezi kinaondoa uchovu
-Kinasaidia kwa watu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.